Kwa hii ngoma ya msanii Diamond iitwayo Pound and Dollars ni rasmi ameanza kurudi kwenye Muziki mzuri

Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi , melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza
Kapicha ka wimbo tafadhali
 
Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
Ngoma ni yakitambo mkuu
Fanya kutafuta hii mpya kaimba na G wala wala
 
Mkuu mbona una ishi kizamani ?, umechelewa sana kujua huyu jamaa Ni fundi
 
Sijui muambiwe marangapi Falsafa ya Diamond, haya mumeandika miaka na miaka ila Falsafa yake mumekaza fuvu kuilewa ni hivi

Mondi anatoa ngoma kwaajiri ya soko la nje na ndani pia ana ngoma kwaajiri ya Vibe.

Kuna muda ana fululiza ngoma za Vibes na za nje hizi nyingi ndio muaioelewa munasema kapotea, mfano sasahivi ukiona ngoma inaanza na "We Zombi haujui" ujie hio ngoma kwaajiri ya trend ya Sasa ndio maana unaona Pounds & Dollars haijaanza na wee zombie Ni ngoma kwaajiri ya ndani ambazo munaita nzuri.

Pia hata ma Producer ngoma za Vibes anamtumia Zombie(S2kizzy), ngoma za kusikiliza Kama Pound & Dollars, Yatakwisha nk anatumia na Producers tofauti.

Diamond amefanya hivi miaka na miaka na ndio strategy yake Kama ujaelewa kilasiku mutaendelea kuandika uzi kapotea, karudi, kapotea, karudi.
 
Nakubaliana na hoja yako
 
Back
Top Bottom