RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,734
10,041
Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE.

D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini Tanzania hasa kwa mdundo wa mziki wa kisingeli.

Pamoja na utambulisho huo pia ameachia Albamu yake mpya chini ya management ya WCB iliyopewa jina la ~SWAHILI KID~. Na sasa inapatikana katika platforms zote za mziki mitandaoni

Tupitie kidogo kilichopo ndani ya albamu hiyo.

SWAHILI KID

1) D Voice - Umenifunza
2) D Voice – Mtamu
3) D Voice – BamBam
4) D Voice Ft. Mbosso – Mpeni Taarifa
5) D Voice – Chori Chori
6) D Voice Ft. Zuchu – Nimezama
7) D Voice Ft. Lava Lava – Turudiane
8) D Voice – Lolo
9) D Voice Ft. Diamond Platnumz – Kama Wengine
10) D Voice – Mungu Baba

:: Welcome to Wasafi family!.
View attachment 2816053
 
20231117_004803.jpg
 
#SwahiliKid
Album Available To All Digital Platforms
Stream, Download & Share To The One's You ❤️.
 

Attachments

  • Screenshot_20231117-003451.png
    Screenshot_20231117-003451.png
    195.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20231117-010443.png
    Screenshot_20231117-010443.png
    191.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20231117-003315.png
    Screenshot_20231117-003315.png
    229.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231117-003215.png
    Screenshot_20231117-003215.png
    173 KB · Views: 6
Hapo nyimbo za kusikiliza Ni mbili pekee.
Mmoja amemshirikisha Lava Lava na mwingine kamshirikisha Zuchu.

Zingine zote miyeyusho.
 
Back
Top Bottom