Ni rasmi sasa Diamond Platnumz ni "Copycat" wa Asake.

nahisi wamefanya sampling, yaani asake analipwa asilimia kutokana na huo wimbo.... nahisi, maana ni kitu cha kawaida kwenye mziki

afu ndo wasanii wa bongo fleva wanavyofanya siku hizi, wanaiga vinvyotrend west africa, west africa ndo inaongoza kimuziki

zipo nyimbo nyingi za bongo fleva zinafanana na afrobeats
 
Muziki wa bongo ushakuwa takataka...wameacha kuimba miziki yetu tuliyoizoea....na kung'ang'ana na miziki ya south....rubbish...

Muziki hauna hata style maalum ya uchezaji....
hata sisikilizagi bongofleva siku hizi...

Nikisikia amapiano yoyote huwa nazima redio...maana muziki wa bongo umesha poteza ladha!

Back to my roots... reggae music
 
Amapiano (ayy), diano (ayy)
It's a big vibe, all the girls dem know (shuu, shuu)
Steadily, steadily
Heavily, we are getting lit
 
Sasa mkuu si ni nyimbo ya G-nako au nakosea
Mbona diamond ndo analalamikiwa copycat na yeye ndo kashirikishwa?🤨
 
Back
Top Bottom