Nimefuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu, nimefuatilia haiba, mienendo ya kisiasa ya watu mbalimbali maarufu nchini. Miongoni mwa hao, nimefuatilia namna ambavyo raisi Magufuli hufanya siasa zake. Ufuatao ni uchambuzi wa mbinu na tekniki amazo raisi Magufuli hutumia ili kufikia malengo...