Rais mbona unazidi iremba remba Dar-es-Salaam unataka kuifanya...

mttupolli

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
439
500
Kumekuwa na kila aina ya matengenezo na marekebisho ndani ya Dar kwanini ni Dar tuu wakati mikoa mingine tunakosa hata barabara ya kokoto? Mzee umeona nini Dar kila kitu Dar.

Wakati mikoa ya Kusini wanapata tabu hata ya soko na bei ya korosho wee unaipamba Dar kila kukicha!

Nimekuja Dar juzi aisee kweli unaifanya Dar kama Ulaya ila inamanufaa gani kwako Dar!

Unaacha tengeneza barabara ya kuingia hifadhi ya taifa ya serous inayopitia KIBITI to Mloka.

Unaacha fatilia mambo muhimu kama mikopo kwa wanafunzi ajila kwa wahitimu wee unaipamba dar tu why?

Unaacha fatilia upatikanaji wa dawa mahospitalini hata diklofenaki ukanunue duka la dawa baba angu wee unaipamba dar!

Unaacha fatilia maswala kupanda kwa kodi baba angu wee Dar tu!

Unaacha fatilia matapeli wa mitandao wale wa tuma ela kwa namba hii mzee wee Dar na yako tuu?

MZEE DAR UMEONA NINI?
 
Fiati

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
1,459
2,000
Kwa ufupi Mzee yupo Dodoma physical Lakini mentality Yuko Dar.Dar Kuna urojo,biriani,Dar ina watoto wazuri flat screen ni kuzisaka kwa tochi kila binti ana inye ata vitoto vidogo nafikiri na mabadiliko ya Tabia nchi Dar Kuna kila kitu hakuna msimu huku.Kwa ufupi Dar, Dar es salaam.Mambo ya Bongo ni mpweto mpweto.Hata nyie mnalima kwa ajili ya watu wa Dar.Kwa ufupi kajenga chato ila ataishi Dar baada ya kustaafu.
 
Davan

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
1,127
2,000
Kumekuwa na kila aina ya matengenezo na marekebisho ndani ya Dar kwanini ni Dar tuu wakati mikoa mingine tunakosa hata barabara ya kokoto? Mzee umeona nini Dar kila kitu Dar.

Wakati mikoa ya Kusini wanapata tabu hata ya soko na bei ya korosho wee unaipamba Dar kila kukicha!

Nimekuja Dar juzi aisee kweli unaifanya Dar kama Ulaya ila inamanufaa gani kwako Dar!

Unaacha tengeneza barabara ya kuingia hifadhi ya taifa ya serous inayopitia KIBITI to Mloka.

Unaacha fatilia mambo muhimu kama mikopo kwa wanafunzi ajila kwa wahitimu wee unaipamba dar tu why?

Unaacha fatilia upatikanaji wa dawa mahospitalini hata diklofenaki ukanunue duka la dawa baba angu wee unaipamba dar!

Unaacha fatilia maswala kupanda kwa kodi baba angu wee Dar tu!

Unaacha fatilia matapeli wa mitandao wale wa tuma ela kwa namba hii mzee wee Dar na yako tuu?

MZEE DAR UMEONA NINI?
Hahahaa
 
TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,265
2,000
Watu wa mikoani muache wivu wa kike nyie limeni mtuletee sisi tununue mazao ,mkipata hela za mavuno mtakuja Dar kula bata.

Maana mikoani huko pakipambwa sana si mtasahau kulima mwishowe tutakosa msosi ss wa mjini😂😂😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom