Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?
Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali zinazoshughulika na Ujenzi wa majengo, waendelezaji, wawekezaji wa ndani na nje pamoja, wananchi na wadau wengine...
Kumekuwa na kila aina ya matengenezo na marekebisho ndani ya Dar kwanini ni Dar tuu wakati mikoa mingine tunakosa hata barabara ya kokoto? Mzee umeona nini Dar kila kitu Dar.
Wakati mikoa ya Kusini wanapata tabu hata ya soko na bei ya korosho wee unaipamba Dar kila kukicha!
Nimekuja Dar juzi...
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.
Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.
"Mwisho wa uchaguzi mkuu mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mkuu mwingine"
JAKAYA KIKWETE.
Je, Rais wetu 2025 awe mtu wa aina na sifa zipi? Hapa chini natoa baadhi kwa maoni yangu (nawe toa yako):
Awe na sifa, uzoefu na uwezo wa kusimamia vyema tunu za taifa kwa manufaa ya wote. Mfano amani, haki na...
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa.
PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma.
Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
Mheshimiwa Rais nilipokuwa kidato cha pili katika somo la fizikia nilifundishwa kwamba mwendo wa gari anayeuona vizuri vizuri ni yule aliyeko pembeni na sio yule aliyeko ndani ya gari linalotembea kwani huyu anaweza kuona miti ndiyo inatembea kumbe gari alilolikalia ndilo linatembea na miti...
Raisi akifikia muhula wake wa pili kulikuwa na mazoea ya wabunge na mawaziri kuanza kampeni mitandaoni nk na kutwa kushindana kuunda mitandao ya kujenga makundi ya kampeni ya kuutaka uraisi badala ya kufanya kazi
Raisi Hilo kaonya watu wafanye kazi na ninavyomjua hatanii he mean business...
Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno.
Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa anafanyiwa nadhani ni vigumu binadamu wa kawaida kuyachukulia kirahisi au hata kuyapuuza. Mtu wa kawaida...
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa...
Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
Unaweza kushinda kwa kura nyingi dhidi ya mpinzani wako lakini bado usiwe Raisi.Hivi ndivyo sheria ya chuo za wanazuoni wa Marekani inavyofanya kazi.
Katika mjadala huu neno Electoral college nitatumia kwa kiswahili chuo cha wanazuoni
“Kwa kifupi
Wanachama mbali mbali 538 wa chuo cha...
Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli.
Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya Hindi Afrika Mashariki.
Kiongozi anayeondoka madarakani ni Danny Faure ambaye amekuwa katika uongozi...
Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi.
Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari
Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa mtoto wa kiume atakaeitwa JAYNOUE OLIVER BECK. ambaye atachaguliwa kuwa raisi wa marekani 3-11-2082...
Hii ni turufu nzuri kwa mwanasiasa, natamani kusikia Mgombea yeyote wa Urais akilizungumzia hili, licha ya baadhi ya maeneo kukosa maji, haiwezi kuhalalisha maeneo yenye maji ya bomba kuuziwa Tsh 1200/= kwa unit ilhali tukijua maji ni uhai lazima yatumike Kila muda. Rais ajae alimulike hili...
Bado kuna wananchi hawajiamini kama watapiga kura ya Rais kwa maeneo walipo. Hii nikwasababu elimu hi bado haijatolewa vyema.
Juzi tulikuwa kwenye usaili wa usimamizi wa uchaguzi mkuu huu, likaulizwa Hilo swali, mkurugenzi akasema inaruhusiwa kabisa kwa mwananchi kupiga kura ya Rais popote...
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.
Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.