Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
1612964527535.png

1612963664474.png


Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani.

Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na kugundulika wanazipunguza hizi dislikes kama inavyoonekana katika hii picha katika moja ya video za White House, Tathmini zinaonyesha kwamba ni zaidi ya dislikes 130,000 kiujumla katika channel ya white house.

1612962466842.png


Wamarekani bado wameendelea na utamaduni huu wa kuonyesha hisia zao za kukerwa na uongozi wa Biden kwa kwenda ku dislike video za White house huku White house ikijiliza wako wapi watu wengi waliopiga kura kwa rais kukabiliana na hili tatizo kwa kuongeza wingi wa likes uwe mkubwa kuliko dislikes

Kwa siku hii ya leo muda huu hizi ni video zinazopandishwa na kupata dislike s mfululizo
1612963018596.png


1612962842313.png

1612962881111.png

1612962915333.png
1612962943632.png
1612962966971.png
 

Attachments

  • 1612962993646.png
    1612962993646.png
    9.9 KB · Views: 1
  • 1612963009345.png
    1612963009345.png
    10 KB · Views: 1
Na vile simkubali nipe link nikaweke yangu.

I liked Trump more
Tuliwaambia watu JB ni puppet kama yule puppet wenu aliyetimkia Belgium, wanabaki kukodoa hata hawaelewi kitu!? Trump kafanyiwa hujuma kwa sababu alikuwa anairudisha US kwenye mstari wa world hyperpower na kujiepusha na vurugu na vita. Sasa hawa mabourgeoisie wanakosa soko la biashara yao chafu. Ndiyo kisa cha kumwondoa DT.
 
Tuliwaambia watu JB ni puppet kama yule puppet wenu aliyetimkia Belgium, wanabaki kukodoa hata hawaelewi kitu!??? Trump kafanyiwa hujuma kwa sababu alikuwa anairudisha US kwenye mstari wa world hyperpower na kujiepusha na vurugu na vita. Sasa hawa mabourgeoisie wanakosa soko la biashara yao chafu. Ndiyo kisa cha kumwondoa DT
DT aliondolewa kwa kura kama marais wengine. na moja ya sababu za yeye kuondolewa ni kushindwa ku handle swala zima la korona.

alipewa chance ya kupeleka ushahidi wa kuibiwa kwakwe kura akashindwa. kosa la nani?

he is out he is out.
 
DT aliondolewa kwa kura kama marais wengine. na moja ya sababu za yeye kuondolewa ni kushindwa ku handle swala zima la korona.

alipewa chance ya kupeleka ushahidi wa kuibiwa kwakwe kura akashindwa. kosa la nani?

he is out he is out.
Alishindwa ku handle corona wapi bana :D :D , thats was politics tu,hata angekuwa nani hakuna kitu angefanya tofauti ni DT, Corona lazima ingeingia USA tu na ni lazima wangekufa sana tu, unajua kwa nini?, USA ndio nchi inaongoza kwa watu kuwa na afya mbovu duniani, karibia 100M US citizens ni obese, Drug addicts, Umasikini uliokithiri hasa sehem za watu weusi, n.k.Yaani hata leo ukitokea ugonjwa mpya, bado USA ni weak target na watakufa sana tu, hii hata taasisi zao za afya wanaluijua sema hawasemi wazi sababu wanaogopa backlash kutoka kwa media na angry politicians... Corona ilitumika kama sababu ya kuwapa wananchi hasira ili wasimchague Trump, maana waliona hakuna namna yyte wangeweza kumshinda Trump bila kuitumia corona. Ukitaka kujua hilo angalia hata sasa hivi babu Joe Biden hana hata plan yeyote ku handle corona said ya kuwaambia watu wavae mask.
 
The biden friendy administration, Agrresively friendly 😁

Huu uchakachuaji wote wa nini kama alipata wapiga kura wengi kwanini asipate genuine follows, ama waliopiga kura ni wafu, mbwa na conputer 😂.

Anyway, naskia kuna social media inasukwa huko itayokua haina takataka za censorship.
Google,twitter,facebook hawa wote ni left wing big tech wanaoongoza kufanya censorship conservative republicans.Tatizo hiyo social media ukiiweka Play store yule muhuni muhindi wa google ataipiga spana tu..
 
Back
Top Bottom