Je, Rais anaweza kujiunga na chama kingine akiwepo madarakani?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Kwa mfano: Je, Rais anaweza kuhama chama alichokuwepo na kuhamia chama kingine? Mfano Mheshimiwa Magufuli atangaze rasmi anajiunga na CHADEMA na kule Zanzibar Hussen Mwinyi anajiunga na ACT Wazalendo.

Nauliza tu inawezekana hata wengine hawafahamu kama nilivyo.
 
Back
Top Bottom