raisi

  1. Abdalah Abdulrahman

    Ujasiri wa Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona umeleta matumaini kwa Watanzania

    Hatuwezi kilinganisha Tanzania na nchi kama China, US, UK na Italia katika nyanja ya miundombinu ya huduma za Afya.Pia hatuna uhakika kuwa ni lini ugonjwa huu wa Corona utapata tiba au chanjo. Pia ni wazi kuwa hatuwezi kuendelea kuwa na watu waoga ambao wanajifungia kutokufanya kazi kukabiliana...
  2. Return Of Undertaker

    Dkt. Mwele: Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

    Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki! Dr Mwele at twitter calibrate /ˈkalɪbreɪt/ verb mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument)...
  3. Zero Hours

    President Museveni live addressing on COVID-19

    NBS Television @nbstv Lockdown yapunguzwa makali. 1. Uganda kuzuia madereva wa magar ya mizigo kutokushuka kwenye gar pale waingiapo uganda. Watoto wa kike wa kiganda waonywa kutembea na madereva wa kigeni. 2. Uganda kutengeneza kwa wingi sanitizer kutokana na waragi ( pombe kali ya...
  4. Analogia Malenga

    Russian Prime Minister Mishustin tests positive for coronavirus as national total tops 100,000 cases

    Waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin amesema amekutwa na #CoronaVirus amesema anapaswa kujitenga ili kuwaokoa wengine Waziri huyo ameshauri naibu wake, Andrey Belousov kukaimu nafasi ya uwazirii mkuu Hadi sasa Urusi ina jumla ya visa 106,498 na wameripoti vifo 1,073 === Russian Prime...
  5. Gwangzu

    Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Hata hivyo Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa hakuna ushahidi wa tiba ya Covid-19 baada ya Bwana Rajoelina...
  6. D

    Namfananisha Rais Magufuli na Mfalme Nebkadneza

    Nimemsikiliza leo huyu Mzee kwa umakini mkubwa ndiyo nimemwelewa vizuri kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa awamu ya 5 Ndugu na Daktari Joni Pombe Magufuli ni kiongozi si waajabu lakini nimemfananisha na Mfalme Nebkadneza ambaye yeye wakati wa utawala wake alikuwa anategemea wataalam wa mwili yaani...
  7. Pdidy

    DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
  8. D

    Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

    Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha...
  9. B

    Pendekezo: Naomba shule zifunguliwe baada ya zile siku 30

    Kwanza nianze na pongezi kwa viongozi wetu wa nchi, waziri wa afya na wataalam wote washauri kuhusu hili suala la janga la Corona. Kwa kweli katika kipindi hichi cha tatizo, nimejivunia sana nchi yangu. Mengi yamesemwa, tumeandika na yameshauriwa humu. Natambua mlikuwa katika nyakati ngumu...
  10. B

    Kuhusu suala la Corona, Rais yupo sahihi sana

    Kwanza nawapa pole nyingi waliougua, lakini pia na wenzetu nchi nyingine waliopoteza ndugu zao. Natambua katika suala hili yamesemwa mengi, yakiwapo ya wataalam. Hivyo basi kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa afya, naomba nitoe maoni katika mtazamo wa kiafrika na hasa katika muktadha wa nchi yangu...
  11. Gily Gru

    Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi binafsi sina chama, si kwa sababu nataka iwe ivyo, ni kwa sababu sijaona chama Tanzania chenye misimamo nayotaka mimi. Rais Magufuli na Bunge: Kwa mtazamo wangu nadhani si kwamba raisi Magufuli anapinga mhimili wa bunge, hili limedhihirishwa na mkataba alioingia Muheshimiwa Kangi Lugola...
  12. Janja PORI

    Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  13. Ghazwat

    Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

    Hello Tanzania na kando ya Tanzania Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

    Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki. Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye...
  15. BASIASI

    Mh Rais turudishie zile semina za MADC MARC ili viongozi wajue mipaka ya kuongea mbele ya Wananchi

    Inasikitisha sana kila Rc anaongea yake mbaya zaidii anaemsema ama kumzalilisha nae n mteule WA RAISI MH kwa HILI TUNAOMBA baba warudishe kasemina kidogo wajue.mwenzao anapokosea NJIA gani itumike.kuwasilisha.hisia na sio kumwagikahadharani Wajuee mipaka yaoo n.ipii HILI n jamboo jema sana...
  16. YEHODAYA

    Wanawake ukiona mume kakosa cheo mshukuru Mungu mke wa Rais Moi yalimkuta

    Rais Moi na mkewe walioana wakiwa watu wa dini sana. Walikuwa walokole wakisali kanisa la African Inland Church. Moi alipopanda cheo kuwa Makamu wa Rais wa Kenya tatizo kwenye ndoa likatokea hadi kusababisha ndoa kuvunjika. Tatizo lenyewe lilikuwa Moi alianda sherehe ambapo mgeni rasmi...
  17. S

    Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

    Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
  18. Richard

    Mafisadi waiingilia idara ya usalama ya Botswana , wataka kumuua Rais Mokgweetsi Masisi ili kupora rasilimali za nchi hiyo

    Raisi Masisi akila kiapo wakati akiapishwa kuwa raisi wa Botswana mwaka 2018. Picha na AFP Maisha ya raisi wa Botswana Mokgweetsi Masisi yako hatarini baada ya mafisadi wakishirikiana na baadhi ya raia wa kigeni wenye uwezo wa kifedha kutoka nje ya Botswana kupanga kumuua kiongozi huyo. Mpango...
  19. Barbarosa

    Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

    Hivi sababu hasa ni ipi? Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini? Au ni wivu tu? I mean jamaa anatoa...
  20. S

    Ili Lugola aende nje kikazi lazima aeleze sababu na Raisi Magufuli atoe ruhusa. Je Magufuli alimruhusu Lugola aende kusaini mkataba ili aje amtumbue?

    Tumemsikia Raisi wetu akisema Lugola katumbuliwa kwa ku-saini mkataba wa mabilioni ya fedha bila ruhusa ya Bunge wala yeye raisi. Sasa iko hivi. Ili waziri wa serikali atoke nje ya nchi, inabidi ruhusa itolewe na Raisi Magufuli, na waziri aeleze kwa kirefu anaenda nje kufanya nini. Na kama kuna...
Back
Top Bottom