sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Mzee Biden amekuwa maarufu kwa hii tabia yake mpya ya kuchomoka nduki akimaliza hotuba, Hataki kuulizwa maswali kabisa.
Akimaliza kusoma hotuba yake kwenye telepromter, huwa anaondoka bila kupokea maswali, huenda hii ni kwa sababu majibu ya maswali hayahitaji teleprompter bali kichwa.
Kama Raisi anashindwa kujibu maswali ni wazi kabisa hata kile anachokifanya kinamweka wazi kwamba ni puppet tu.
Ni juzi tu hapo kumekuwa na kashfa ya wafanyakazi wa White House kuwaomba waandishi wa habari maswali wanayotaka kuuliza lakini walikataliwa, Je Biden hawezi kufikiria kujibu maswali? Ni hadi aandikiwe majibu kwenye telepromter ndio njia pekee ya kujibu maswali?