Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?

Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto kwenye umakamu wa Rais.

 
Rao mjanja sana saiv yeye na Uhunye ni pete na kidole.Namuonea huruma sana Willi alijua yeye ndo next president namuona Rao akiingia ikulu mwakani.
Sidhani kama Willi atakubali kirahisi hivyo. Na hapo ndio naiona Kenya ikiingia kwenye mzozo tena.
 
Willi naye amejipanga kwa hiyo 2022 lazima ngumi zitapigwa.
 
Sasa hivi Kiongozi wa Kenya hata ukimualika kwenye birthday party ataleta siasa za Uhuru na Ruto.
 
Huzijui siasa za Kenya wewe. Urais Ni Kati ya Central (Kikuyus) na Rift Valley (Kalenjins). RAO aliishia u-PM (wa kutengenezwa).
Sioni usalama wa Kenya 2022. Dalili ya mvua ni mawingu.
 
Hakunaga election violence nyingine Kenya. It's obvious next president atatoka Rift Valley (possibly Gideon Moi) na running mate kutoka (Central).
Sawa ila huo ndio mtazamo wako....basi tusubiri muda utatuambia.
 
Dah ila Kenya, Rais mbona kwao ni mtu wa kawaida sana? Huyo mzee anaongea na Rais utafikiri anatoa order kwa kibega wa stand, how are you lecturing the President? Kwanza tu namna unavyomtaja kama a mere houseboy 😅😅
 
Back
Top Bottom