Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714

Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.

Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.

CeEgAMNWAAAdakT.jpg
CeEhHtOXIAAdHrS.jpg

CeEhZy-XIAAO-0B.jpg
CeEfOqCW0AAHhVa.jpg
CeEh7ELWEAAS96w.jpg

7.jpg

Leo, Rais wetu mpendwa , amekuwa raia wa kwanza kuhakiki silaha zake kutii agizo la Mh. Makonda. Jambo la kujifunza ni ulinzi binafsi hasa kwa viongozi wetu wakuu. Waache kutegemea body guard, hawa ndio waliokatisha uhai wa The late Desire Kabila....!
 
Utii wa sheria bila shuruti! Urais kaupata juzi, silaha alikuwa nayo tangu kabla ya hapo!

Hope alitakiwa kuirudisha.Imenipa shida kidogo kwamba hawaamini walinzi wake.Halafu mbona lisilaha lenye kubwa mno.
 
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?

Mkuu, hizo silaha mjomba MAGU alikuwa nazo toka akiwa waziri nadhani. Kwa hiyo alichofanya ni sawia kabisa. Akistaafu urais ataendelea kuzitumia tu.
 
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.

Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.

USIPIME MWANANGU !!
 
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Na mimi nimejiuliza iweje atembee na silaha wakati analindwa na walinzi kibao?
 
I don't get it that Rais anatembea na silaha wakati anao walinzi wanaomzunguka muda wote wakiwa na silaha za kumlinda?
Nadhani silaha alikuwa nazo tangu kabla hajawa rais. Suala ni kuwa kuna umuhimu wa kuendelea kutembea nazo hadi kipindi hiki ambapo kazungukwa Na walinzi kila kona??
 
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.

Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.

View attachment 331523 View attachment 331522
View attachment 331524 View attachment 331525 View attachment 331526

Yaani sasa kulikuwa na haja gani ya Rais kupiga picha na kusambaza huku akionyesha hadharani silaha anayomiliki?

Hivi ni Ulimbukeni au ni kujisahau tu?

Ashauriwe maana sioni kama utetezi wa Kuwa anaonyesha mfano mwema utakuwa na maana.
 
Inasemekana kuna watu wasioshaurika....!!!!
 
Back
Top Bottom