Wakenya wamcharukia Rais wao kwa kuongea kilugha (Kikuyu)redioni

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Wiki moja iliyopita Rais Uhuru alienda kwenye moja ya Redio na kufanya mahojiano kwa lugha ya Kikuyu mwanzo mwisho, jambo ambalo limewaacha Wakenya wengi njia panda.

Na mijadala inaendelea kumzodoa Raisi.
 
Back
Top Bottom