raisi

  1. M

    Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
  2. T

    Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
  3. Barbarosa

    Asante sana Raisi Magufuli, Dar-Arusha City!

    Hapa tukipanda treni yetu kuelekea Arusha City, ...
  4. commited

    GE2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

    Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa, wala si kufanya chama kisonge mbele hata kidogo Wale CCM...
  5. heartbeats

    Hivi kuna watu mnaamini Lissu atakuwa Rais?

    Habari wakuu, Tunaaswa kuwa na IMANI iliyo imara ila sio kutumia imani kwa ovyo,jukwaa la siasa mmepata washabiki wengi wa chama cha Lissu maana ni nyuzi za Lisu mshindi, Lisu ndo anatakiwa. Anyway, sioni uwezekano wa lisu kushika madaraka, wananchi watanzania ni watu wavumilivu ni watu...
  6. S

    GE2020 Kama ahadi za Magufuli wakati wa kampeni si rushwa na anazitoa kama Rais, Lissu anapaswa kuwaambia walioahidiwa atazitekeleza zote akiwa Rais

    Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la. Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
  7. mugah di matheo

    GE2020 Sasa Basi hawa "wapinzani" wadhibitiwe lasivyo watamchosha Rais wetu

    Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao. Wito kwa time ya uchaguzi...
  8. YEHODAYA

    GE2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe. Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
  9. YEHODAYA

    Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!! Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
  10. YEHODAYA

    Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

    Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu Pia walitakiwa...
  11. technically

    GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
  12. MALCOM LUMUMBA

    Kikatiba: Rais wa Tanzania hashtakiwi, lakini hana kinga dhidi ya yafuatayo...

    Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
  13. M

    Walioitwa wafanyakazi wa majalalani ni wateule wa Rais na siyo wafanyakazi wa kawaida wasio wateule wa Rais

    Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone. Kila jambo wanalo...
  14. YEHODAYA

    GE2020 Baraza la Mawaziri lijalo Rais aingize Wazungu, Wachina na Wahindi na wakumbukwe teuzi za Serikalini na Taasisi za Umma

    Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais asisite kuwapa ubunge wa kuteuliwa wale anaoona wanafaa a kuwapa hata uwaziri ili tushirikiane nao...
  15. Basi Nenda

    Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  16. Barbarosa

    Raisi Mstaafu Kikwete!

    chadema oyeee, ...
  17. Richard

    GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  18. S

    Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  19. Barbarosa

    Killery Clinton amwambia Joe Biden "don't accept results of 2020 Election''

    Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe, “Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to drag out, and eventually, I do believe he will win if we don’t give an inch and if we are as focused...
  20. Richard

    "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
Back
Top Bottom