Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la.
Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.
Wito kwa time ya uchaguzi...
Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa.
Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe.
Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
Raisi Magufuli awashangaa wanaodhani kujenga diplomasia ya mahusiano ya kimataifa ni kufanya safari za kwenda ulaya!!
Raisi Magufuli atema cheche asema asema ana mialiko ila hataenda atatuma balozi yeye anajenga nchi
Ninakubaliana naye Uingereza na Marekani wana mahusiano mazuri sana na nchi...
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa...
Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi
Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone.
Kila jambo wanalo...
Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais asisite kuwapa ubunge wa kuteuliwa wale anaoona wanafaa a kuwapa hata uwaziri ili tushirikiane nao...
Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe,
“Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to drag out, and eventually, I do believe he will win if we don’t give an inch and if we are as focused...
Hello bosses,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata hawakutegemea(kama vile ulinzi, vibarua, etc....)
Ni muda sasa wagombea wetu mje na sera za kutatua tatizo la...
Kwa wajuzi na wabobezi wa maswala ya sheria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria nyingine zinasemaje kuhusu mamlaka ya raisi anapo kuwa mgombea kutetea nafasi yake"ni wakati gani anakuwa na kofia ya urais na ni wakati gani anakuwa na kofia ya mgombea?
Nauliza hilo kwa sababu nilikuwa...
Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake
Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa
Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up.
Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia...
Nawapongeza kwa hatua zilizochukuliwa za kuzuia ndege za Kenya kutua nchini. Sitaki kuwachosha na maneno mengi, ila nimeona mazungumzo yameanza kurejesha safari, mimi nina wazo hili.
Kwa kuwa kenya wameanzisha utaratibu wa kutubeep, tukiwapigia wanaomba tuongee tuyamalize, mimi nashauri ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.