Umebaki muda mfupi tu wa Rais mpya wa Marekani kuapishwa. Balozi wa Marekani Tanzania hatima yake haijulikani

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangua wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
 
Marekani ina sera zake kuhusu mambo mbalimbali - Sera ya Marekani kuhusu Africa na demokrasia yake kwa ujumla ipo pale pale abakie Pempeo ama mwingine aje uzi ni ule ule !!
Uongo wakati wa Kennedy na Clinton na Obama administration walikuwa tofauti
 
We bongozozo, Marekani inaongozwa kwa kanuni na sera. Hawaongozwi kwa mihemko kama huko Tanganyika.

Unafahamu sera ya Marekani ni ipi kwa nchi za Kiafrika?

You know very little i can tell.

You are Just a BIG BABY ranting on internet like crazy!

Hawa watu wanaongozwa kwa sera! Na moja ya sera yao ni kuzi control nchi za kiafrika kwa kila namna inayowezekana. Institutionally, systematically, economically and politically!

Hata aondoke pompeo, watakuja wengine wenye sera zile zile na mikakati ile ile. Wanachoweza kufanya ni kuongeza makali zaidi.

Umekaa hapo kwenye chemba za vyama na ilani zako unabwata tu hovyo umeshashiba maugali yako basi ni kujiachia tu!
 
We bongozozo, marekani inaongozwa kwa kanuni na sera. Hawaongozwi kwa mihemko kama huko Tanganyika.
Sasa mbona majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima Marekani wako ikulu na wamepiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa Rais mpya Joe Biden?
Kama kapita kihalali majeshi ya nini? Kwani wanajeshi ndio pekee walipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio wapiga kura

Sisi hatujawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais lakini Marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
 
6486122.jpg
 
Sasa mbona ada majeshi yote ya ulinzi na usalama kutoka nchi nzima na kupiga marufuku watu kwenda viwanja anapoapishwa raisi mpya Joe Biden? Kama kapita kihali majeshi ya nini? Kwani kesho ndiko pekee kilipiga kura? Ina maana anaapishwa na wanajeshi sio watapiga kura ni chako la majeshi sio raia sisi havijawahi piga Marufuku raia kuhudhuria kuapishwa kwa raisi lakini marekani wamepiga Marufuku ataapishwa mbele ya vyombo vya ulinzi na usalama tu tena FBI wamewachuja wanataka wale tu pro Biden!! Nani mwenye mihemko hapo Kati ya sisi na wao? Ingekuwa kwetu wangepiga yowe kuwa ni Raisi aliwekwa na jeshi sio wapiga kura
A big baby crying with diapers falling!

Shut up!!
 
Rais mpya wa Marekani akiapishwa mabalozi wengi huwa pressure zinawapanda sababu kila Rais akiingia huwafungasha virago mabalozi na kuchangia wapya

Balozi aliyepo na akina Pompeo Secretary of state wa Marekani hawakuwa rafiki sana wa CCM na Serikali yake! Mwisho wao ni leo anapoapishwa Rais mpya

Kuanzia leo watakuwa hawalali usingizi wakijua ujuaji wao umefikia ukingoni

Kila silaha itakayofanyika juu ya Tanzania haitafanikiwa kuanzia Donald Trump na pompeo na balozi wa Marekani Tanzania na Amsterdam na Tundu Lissu.
Msimamo wa mabalozi ni msimamo wa Marekani
 
Nimecheka kwa nguvu, eti mabalozi wa Marekani wako matumbo juu. Kwakuwa mabalozi wa Tanzania wanapata hizo nafasi kwa hisani kama sehemu ya kuwawezesha kimaisha, basi unadhani mabalozi wa nchi nyingine ni wachumia tumbo kama wakwetu. Umewaza kitanzania zaidi.
 
Pumba tupu !! Tafuta hela
 
Hapana Mkuu kawaza ki ccm zaidi. Wako Watz very smart hawawezi kuwaza Kilumumba.
 
Tumia akili kidogo
Tangu Trump achaguliwe alikaa miaka mitatu kabla hata ya kufikiria kuteua balozi kuja Magufulistan
Hujui lolote nje ya upuuzi wa Ccm
 
Sera ya nje ya US ni ile ile hata Rais akiwa Lil Wayne.

Marais na vyama vinabadilika
kila leo huko US lakini Beef lao na North Korea au Russia liko vile vile.

Sana sana kikibadilika sana ni mtazamo wa namna ya kuyashughulikia hayo mapumbavu.
No permanent enemy
No permanent friend
Just permanent interest
 
Back
Top Bottom