raisi

  1. S

    Chama cha CNN-FDD cha Burundi cha mpongeza Dr. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii: #Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S...
  2. YEHODAYA

    Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini?

    Mheshimiwa Rais niulizie Traffic Dar kisa cha kila siku kukamata daladala na kuwadai hela wakati wako kwenye route sajiliwa ni nini? Basi limesajiliwa Route husika lakini unakuta Traffic kila siku wao kazi kupiga mkono daladala na kudai hela. Piga marufuku matraffic kukamata daladala ambazo...
  3. S

    Jambo likiwa zuri anasifiwa Rais, likiwa baya analaumiwa Waziri

    Hii Tanzania huwa inanishangaza sana. Likifanyika jambo zuri la kisera au lenye baraka za mawaziri, ridhaa ya Rais, n.k, sifa humiminiwa Raisi na Waziri anaweza hata asitajwe. Cha ajabu na kushangaza ni pale linapofanyika jambo baya au la hovyo lakini katika mazingira yale yale, watu (hasa...
  4. S

    Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  5. battawi

    Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

    Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar. Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka. Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano...
  6. fmlyimo

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  7. Miss Zomboko

    Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  8. YEHODAYA

    Ushauri kwa viongozi wa Umma kuepuka kutumbuliwa na Rais Samia Suluhu

    Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia 1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi...
  9. Automata

    Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  10. YEHODAYA

    Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  11. B

    Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

    Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari. Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani. Source: THE INDEPENDENT
  12. Tanganyika Law Society

    TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  13. Mr Sir1

    Ushauri kwa Rais Samia Suluhu

    Taifa lipo katika maombolezo makubwa ila kwa wakati huo huo maisha yanapaswa kuendelea. Ni ushauri tu kwa Mh. Samia endapo ataamua kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, wa kwanza kumtoa awe Waziri wa Afya, Dr. Gwajima. Huyu mama amekuwa kituko kikubwa katika wizara na serikali. Huyu ndio...
  14. bluetooth

    Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

    Rejea kichwa cha habari. Je, ni nani atachukua mikoba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi aka chama tawala?
  15. K

    Kama ningepata bahati ya kumshauri Rais Dkt. Mwinyi ningemshauri haya

    Ushauri wangu kwako Rais wangu Dkt. Mwinyi. 1. Kupitia kampuni zote za tour operator na mikataba ya wafanyakazi wa ndani Bara na Visiwani. 2. Kulipwa fidia kwa wafanyakazi waliotimuliwa kazi bila utaratibu wa kisheria wkt wakiwa ndani ya mikataba. 3. Kutokupewa vibali kwa wafanyakazi wageni...
  16. B

    Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe. Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pia ni tofauti kabisa na kauli zinazotolewa na Rais Magufuli...
  17. YEHODAYA

    Uganda Rais ashauriwa kuteua Digital Ambassador wa kushughulika na Facebook na mitandao mingine

    Facebook closure will not affect important things in Uganda- Museveni. President Museveni has said the limitation of access to Facebook will not affect the most important things from happening in Uganda. Kenneth Kazibwe by KENNETH KAZIBWE March 1, 2021 at 10:51 am. Facebook closure will not...
  18. Abdalah Abdulrahman

    Vita dhidi ya Corona: Rais Magufuli anaanza Marais wengine wanafuata

    Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia mapambano yake na rushwa, wafanyakazi hewa, matumizi mazuri ya pesa za umma, usimamizi mzuri wa...
  19. E

    Rais amekwishasema "tuendelee kuchukua tahadhari lakini hakuna lockdown" Wizara ya afya mmesubiri nini kuhamasisha watu kuchukua tahadhari

    Bado naendelea kuwashangaa wizara ya afya, kiongozi wetu mkuu kila mara anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari. Mara ya mwisho nimemsikia raisi wetu tarehe 19.02.2021 akirudia msemo huu, sasa sijui mnasubiri raisi ndiye afafanue tahadhari anazozisema ni zipi? Rais ameendelea kusema mwaka...
  20. M

    Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
Back
Top Bottom