rais

  1. FrankLutazamba

    Ningekuwa Rais Magufuli, ningetangaza Machifu na Watemi wanaojulikana waanze kulipwa mshahara wa Tsh.laki nne kila mwezi

    Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara. Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
  2. GENTAMYCINE

    GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  3. G Sam

    Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

    Hayo kayasema asubuhi hii Tabora
  4. M-mbabe

    GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  5. dubu

    GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  6. GENTAMYCINE

    Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  7. barafu

    GE2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

    Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake. Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
  8. GENTAMYCINE

    GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  9. FrankLutazamba

    Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  10. CUF Habari

    GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  11. funaku

    Makundi ya kijamii yanayompa Ushindi Rais Magufuli 2020

    Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii. Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM. Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi...
  12. A

    Wapinzani na Utekelezaji wa Sera ya Wagawanye Uwatawale (Divide & Rule Policy)

    Wanabodi, Historia ni somo la muhimu sana kwani linatuonesha ni wapi tulipotoka, tulipo na kutuwezesha kupanga na kutabiri kesho yetu. Wakoloni walipokuja Afrika hawakuja moja kwa moja. Walikuja kwa hatua, kwa kuwatanguliza wamishionari, wapelelezi na wafanyabiashara. Hawa walipeleleza tabia...
  13. G Sam

    GE2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

    Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo. Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
  14. CUF Habari

    GE2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  15. C

    GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  16. R

    GE2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  17. CUF Habari

    GE2020 Wananchi wa Kijiji cha Mpeta, Tarafa ya Nguruka, Wilayani Uvinza, Kigoma wasimamisha msafara wa Bi. Hamida Abdallah Huweishi

    WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA NGURUKA. TUSIFANYE MAKOSA IFIKAPO OCTOBA 28,2020 TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII TUPATE...
  18. J

    Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika. Lakini kwa...
  19. Replica

    KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

    Leo Rais wa Burundi, Evarist Nditiye amewasili nchini kwa ziara ya kiserikali na anapokelewa punde na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. 3:30 Asubuhi: Rais Magufuli ameshaingia uwanjani, kwa sasa wasanii kadhaa wanatoa burudani...
  20. kavulata

    Rais Magufuli anajaribu kuifutia CCM dhambi zake

    Tanzania ilipata Uhuru kutoka kwa mkoloni miaka karibu miaka 60 iliyopita. Miaka 60 Ni mingi sana, inatosha kwa wananchi wote kupatiwa maji, umeme, viwanda, hospitali, shule, mabwawa ya umeme na umwagiliaji, reli, barabara kutokana na wingi wa rasilimali zilizoko nchini. Kwa miaka 60 CCM...
Back
Top Bottom