UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.

FB_IMG_16074109481542583.jpg
 
Huyo Mama ni mduwanzi Sana. Nakumbuka alikuja bariadi alitutukana Sana watumishi sector ya afya. Ila poa ache liende na litafika kunako.
Aliwatukana au aliwambia ukweli make watumishi wa afya huko wilayani ni miungu watu. Huwa naenda sengerema kule naona wanavyohudumia ukiuliza unaambiwa tuko wachache. Unaweza ukaenda asubuhi kupima malaria ukatoka saa tisa.
 
Halafu wanakuambia unaogopa kukata roho? Roho umepewa bure acha mwenye nayo aichukue.​
 
UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni.​

Nadhani mada hii ilitaka kubaini 'hap ni kwanini hawa 2 waapishiwe Bungeni , na wale 19 waasi wa chadema waapishiwe kwenye Hema, nje ya Mjengo?
 
Back
Top Bottom