rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili. Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state. Nasali...
  2. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania A political watchdog: Humphrey Polepole mzalendo anakayekwenda kusimamia uwajibikaji ndani ya Bunge na kuripoti kwa Rais

    A POLITICAL WATCHDOG:HUMPHREY POLEPOLE MZALENDO ANAKAYEKWENDA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI NDANI YA BUNGE NA KUREPORT KWA MHE RAIS. Leo 14:45hrs 29/11/2020 Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa,na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi,Taifa,Ndugu Humprey Polepole,kwa Umakini na Uzalendo wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

    Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango, huzuni, upweke na machozi. Kiasi wakati...
  4. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Rais na Halima sijui ni lini hii picha ilipigwa

  5. I

    JamiiForums Tanzania Nchi ikiwa ya chama kimoja anayepata faida ni Rais tu siyo chama!

    Wanabodi mnaoshangilia nchi yetu kuwa ya kijamii peke yake mjue anayefaidika na mfumo huo wa chama kimoja ni rais tu How! Miswada yote ya serikali itakuwa inapita bila kupingwa au rais akitaka chochote hakuna mwenye ubavu wa kumpinga Mana wabunge wote wanakuwa waoga hususani hawa ambao wamepewa...
  6. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tuachie zawadi ya Halmashauri zetu kujiendesha

    Wewe ni msimamizi mzuri na ukiamua kitu kinafanyika mifano ipo hai kama Makao makuu yetu kuhamia Dodoma wengine hawakuamini na walifikiri ni usanii lakini sasa hivi Mji wetu Mkuu Kikatiba kabisa ni Dodoma. Hivyo basi binafsi naamini kama Halmashauri zetu nchi nzima zikiweza kutumia sehemu ya...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe | Dkt. Mwakyembe Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu MUHAS

  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hakuna Haja/Haraka ya kuwa na Mawaziri. Mheshimiwa Rais...

    Asilimia 99 ya Wabunge ni wa CCM najua jinsi gani mheshimiwa Rais unapata changamoto kuchagua Mawaziri. Mheshimiwa Rais wala usiwe na haraka. Chagua taratibu sana. Wapitie hawa wabunge mmoja baada ya mwingine. Then hata kama itachukua miaka 2 au 3 wala haina shida. Sisi hatuoni tatizo lolote...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila ammwagia sifa Rais Magufuli kwa uongozi bora

    Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo. Karibu. Chanzo: Clouds TV. Maendeleo hayana vyama!
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri Rais Magufuli liunde haraka, huna muda kama awamu ya kwanza, umebakiza miaka 4 tu

    Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri.... Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku katika wizara since July mchakato wa kura za ndani CCM ilivyoanza basi mawaziri wakawa vey much busy...
  14. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Mhe. Rais: Ikikupendeza mkoa wa Mtwara uongozwe na Mwanajeshi

    Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita kumsulubisha kwa aibu, ndivyo tulivyo mzee wangu ila we fanya kazi, Mungu atakulipa. Nirudi kwenye...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kubabaika: Kaulizwa Rais wa EU, anajibu Balozi wa Tanzania

    Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli. Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge la EU chini ya Mwenyekiti wake David Mc Allister kuhusu Tanzania zilikuwa nzito kulikuwa hakuna...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ninakubaliana na Rais hakuna vita ngumu kama ya uchumi, tushikamane

    Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji. Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Majaliwa aagiza hospital ya Uhuru mjini Dodoma iwe imekamilika ndani ya siku 15 ili Rais Magufuli aifungue 09/12/2020

    Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake. Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ameapa kuwachukulia hatua waliomtorosha Nabii Bushiri kutoka Afrika Kusini kwenda Malawi

    RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa za kina. Nabii Shepherd Bushiri na mke wake Mary, wanakabiliwa na mashtaka ya ulaghai na...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mteule wa Taifa la Marekani Joe Biden leo Ijumaa ametimiza umri wa Miaka 78 ya kuzaliwa kwake

    Happy birthday to him Happy anniversary to the family Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa Tunampongeza pia kwa ushindi wa kishindo
  20. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

    Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika. Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
Back
Top Bottom