Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.
Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua...
Kuna matukio yamekuwa yakitokea katika taasisi za Serikali lakini zikihusishwa Ofisi za wasaidizi wa karibu wa Rais.
Kuna wakati Rais Magufuli aliagiza moja ya kitengo cha kushughulikia wawekezajji kiondolewe Ofisi ya Waziri Mkuu. Je, Waziri Mkuu alikuwa hajui, au amechoka na Speed ya jamaa...
Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini.
Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
Kwa mujibu wa Rais Magufuli ni kwamba kuna watumishi wengi tu wamemzidi mshahara.
Sasa nauliza tu.
Je, ni bodi ipi ina ujasiri na mamlaka ya kuipima kazi ya mkurugenzi fulani ni kubwa, ya thamani na ni ngumu kuliko ya Rais?
Je, mshahara wa Rais Tanzania hupangwa na Rais mwenyewe aliye...
RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo
Amesema watumishi hao...
%KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI (TMAA) WAPUNGUZIWE MISHAHARA , IMENIFANYA NILETE UZI HUU HAPA ILI TUTAFSIRI KWA PAMOJA UKWELI WA MH RAIS...
Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
Wakuu habari?
Kwanza nimpongeze sana DC Sabaya jinsi alivyo weka juhudi kuwasaidia watu waliolalamika kulaghaiwa na kampuni ya Q-Net wilayani kwake.
Katika mazungumzo yake na waalimu akawauliza "bado tu hamjajifunza jinsi taasisi ya DESI ilivyofumuliwa na Rais Magufuli?"
Chanzo: Youtube...
Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya.
Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais.
KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU?
Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa "voices from within" ni kama "trends reading of some sort.
'Voices from Within" ni kuisikia sauti kutoka ndani yako!.
Sasa baada ya Naibu Waziri wa Madini kushindwa kuapa, na Rais Magufuli kumtumbua pale pale, au papo kwa papo kwa kudhania...
TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE.
Na, Robert Heriel
Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli mimi najua wewe ni jembe kwelikweli na hutaki mchezo katika masuala ya kazi.
Nakuomba Mkuu najua nafasi hizi Mungu ndiye hupanga.
Angalia tena wakati unamwapisha Ndugu Martin Shigela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, pamoja na Shigela kuwa na Masters ya sheria (LLM)...
Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.
Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na...
Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali.
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West
Vice President-elect Harris’ sister participated in discussions with Democratic allies about getting her husband...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.