rais

  1. U

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Japokuwa Wapinzani mnamchukia Mkuu wa Kaya, lakini Watanzania wanamshukuru Mungu kuwa na Rais kama huyu

    Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu hasa vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu. Kila Mtanzania anafahamu jinsi ugonjwa wa Covid 19...
  3. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango mshauri Rais mpunguze idadi ya miradi, pia kuzuia miradi hali sio nzuri

    Mh Mpango mimi naombi moja ni bora ukubali jiuzulu au uendelee kusimamia kile mnakiamini kwamba pesa ipo na watu wameficha hivyo mnapambana kuzipata hizo pesa kwa ku impose new tax return na kufuwatilia madeni ya zamani nakuapia kuna madeni hayalipiki. Mkuu bora lawama kuliko fedhea. Yani huku...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataweza kurejesha Azimio la Arusha? Tujadili

    Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere. Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli, umeona mbali kwa kuanzisha Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

    Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu zifuatazo: 1. Mawasiliano ya kibiashara, kimalipo, ukusanyaji mapato, maduhuli,matangazo ya kibiashara...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burundi: Waandishi habari 4 waachiliwa huru na Rais Ndayishimiye

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019. Wanahabari hao Agnes Ndirubusa , Christine Kamikazi, Egide Harerimana na Terence Mpozenzi walihukumiwa na mahakama ya mwanzo na...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya Hotuba ya Rais kabla ya kufunga mwaka 2020

    Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha kufanya mambo makubwa mawili; 1. Kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kwa awamu ya pili ( najua ameshafanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

    Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi. Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV. Updates; ====== Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza. Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Sivangilwa Mwangesi kuwa Kamshina wa Maadili

    Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi ambaye ni Jaji wa Mahakama ya Rufani ameteuliwa na Rais Magufuli kuwa Kamishna wa Maadili. Mwangesi anakuwa kamishna baada ya aliyekuwa Kamishna wa Maadili, Harold Nsekela kufariki dunia. Uteuzi huu unaanza leo, Desemba 23 na Rais atamuapisha kesho Desemba 24...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli nisikilize kwa makini, Sitaki upoteze muda bure

    Kwa Mkono wa, Robert Heriel Heshima kwako, Mkuu wa nchi, Pole na hongera na Majukumu yako ya kila siku. Naomba uniruhusu nichukue muda wako kidogo kwa kusoma jumbe hii. Natumai hekima na busara yako hazitashindwa kuelewa nini nimekusudia kusema. Mara kwa mara nimekuwa nikikufuatilia katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Shime Watanzania tuupiganie Uhuru wetu unaoporwa. Tutajuta!

    Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala. Mwalimu Nyerere na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  14. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania CUF yazindua Kongamano la kudai Katiba mpya, yataka maoni ya wananchi kuheshimiwa

    "Tunakushauri Rais Magufuli kwamba mda wako wa kuongoza ukiisha wasije wakakudanganya ukaongeza mda wa kuwa madarakani wakati mda wako vipindi vyako vitakuwa vimekwisha".-Prof. Lipumba. #UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya #OfisiKuuYaChamaBuguruni. ------ Chama cha CUF jana...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki ya kisheria DC Kihongosi amekosea, lakini kwa mantiki ya kiuwajibikaji yuko sahihi

    KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh Kihongosi kuwatandika fimbo watu wanaotajwa kuwa ni wafanyabishara kwa kosa la kuiba viti vya shule...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje ni Mihimili mitatu wakati Rais ndiye huteua Majaji wote na ana uwezo wa kulivunja Bunge?

    Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu. Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote. Kadhalika Rais anaweza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ TITLE: KATIBA HAIMLAZIMISHI RAIS KUSHAURIWA ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 DATE: December 16, 2020 NEWSPAPER: RAIA MWEMA, pg. 19 _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ _ Tarehe 12/11/2020 Rais John Magufuli...
  19. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Desemba 18, 2020 alipotembelea na kukagua ujenzi wa daraja hilo...
Back
Top Bottom