rais

  1. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuziamini ndoto baada ya kuota nipo na Rais Samia kisha nikapata kazi

    Habari za mchana, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza. Sasa mwaka huu mwezi wa nne tarehe 3 niliota ndoto ambayo nlivyoamka nikaitafakari sana sikupata...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia unamharibia Rais Samia nchi, mambo mabaya yameharibikia mikononi mwako

    Nimebaini kuwa adui mkubwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa ni Dk.Tulia Ackson ambaye mambo yote machafu yamefia mikononi mwake na taifa likiwa halijua linatokaje kwenye mkwamo huu. Mfano wa mambo yaliyofia mikononi mwa Tulia na Bunge lake. 1. Mkataba wa Bandari Serikali iliupeleka Bungeni tangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Mke wa Dkt. Kizza Besigye, Mpinzani mwenye nguvu kubwa Kisiasa Uganda, alikuwa mchumba wa Rais Yoweri Museveni

    Kizza Besigye na Yoweri Museveni walikuwa marafiki walioshibana wakati wa Vita ya Msituni Uganda kumuondoa Milton Obote miaka ya 1980, na Dkt. Besigye aliwahi kuwa daktari binafsi wa Museveni na wanajeshi wengine waliokuwa msituni pamoja na Museveni Rais Museveni na Winnie Byanyima walikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua programu ya uchimbaji wa visima 67,800

    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo 67,850 kwa nchi nzima vitakavyowezesha hekari 2,7014,000 kufikiwa na mfumo wa umwagiliaji. Akitoa maelezo kwa Rais Samia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe ya wakulima nane nane kwenye viwanja...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakulima waimwagia sifa Benki ya CRDB mbele ya Rais Samia

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo mafupi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Kilimo Biashara wa Benki ya CRDB, Ndugu Maregesi Shaaban alipotembelea Banda la Benki ya CRDB katika kilele cha maadhimisho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Jijini Mbeya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Wazazi waliofiwa na watoto 4 kwenye ajali watibiwe kwa VIP Class Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote nchini!

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa sana na vifo vya wanafamilia 4 waliofariki kwenye ajali huko Mbwewe Chalinze. Chalamila amesema Rais Samia anajua kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea watoto wao hawa waliofariki, hivyo ameagiza wazazi hawa wawe...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

    "Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu. Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya. Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa ziarani Russia na maamuzi ya Rais Samia kuficha aibu ya kuitikia mwito wa Putin.

    Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi. Uranium inayopatikana nchini Niger...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Mbeya, ni coincidence au mikakati ya kimedani?

    Follow the rising star. Picha huzungumza maneno alfu na moja Hukumu ya kesi ikahairishwa....
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  15. JamiiForums Tanzania Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

    Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa rais Mbeya kesho kwenye 8-8 ndio kumeahirisha hukumu ya kesi ya Bandari?

    Salam wakuu, Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge. Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  19. JamiiForums Tanzania An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

    Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, Assalam Alaykum. Greetings with utmost respect and honor. I sincerely hope that you and your family are in good health and high spirits. I offer my prayers for your well-being and success as you shoulder...
  20. JamiiForums Tanzania ‪Ahadi ya Rais Samia kununua magoli kimataifa inaendelea‬

    Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea "Ahadi yangu ya kununua magoli kwa watakaofanya vizuri kimataifa iko palepale, nendeni mkatuletee ushindi."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…