Raisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.
Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe zaidi ya 100 wakiongozwa na waziri mkuu wao pamoja na wawakilishi wa kampuni ya Arab Contractors...
Hapa leo tuelewane, maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya barabara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la...
Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria?
Kwani ni lazima amalize miaka mitano?
Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi?
Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda?
Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote...
Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.