Picha ya Rais Samia kwenye Simba Day ndio picha kali zaidi ya kiongozi wa nchi kwenye michezo

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI YENYE UNYAMA MWINGI Katika picha ambazo viongozi wa juu wa nchi wamepiga katika matukio ya michezo

Picha imejaa Furaha
Picha imejaa Tabasamu
Picha imejaa Matumaini
Picha imejaa Upendo
Picha imejaa Amani

Picha ni Kali

Yaani picha ya "Unyama Mwingi"

Kama kuna mwenye picha bora zaidi alete
F23V70MXoAA01K7.jpeg

WhatsApp Image 2023-08-06 at 18.44.12.jpeg
 
Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI YENYE UNYAMA MWINGI Katika picha ambazo viongozi wa juu wa nchi wamepiga katika matukio ya michezo

Picha imejaa Furaha
Picha imejaa Tabasamu
Picha imejaa Matumaini
Picha imejaa Upendo
Picha imejaa Amani

Picha ni Kali

Yaani picha ya "Unyama Mwingi"

Kama kuna mwenye picha bora zaidi alete
View attachment 2710965
View attachment 2710962
Akiachana tu na mnada wa bandari zetu atapendeza sana.
 
amfanyie unafki fukara km wewe aapte nini, mamako ndio alimfanyia babako unnafki. Huyo celebrity wa kimataifa huwezi badili kwa husda zako we kenge
Nyang'au wenye akili mgando kama wewe unamuona ni celebrity! Haya wahi kwenye utumwa stupid!
 
Michezo na Suti hizo za Hilary Clinton?

Au Track Suit zilikwisha madukani ?

Ungesema picha ni nzuri nisingebisha hio ni subjective ila unapoongelea michezo alafu nikiona alivyovaa nachelea kuuliza michezo gani hii au Playstation
 
Picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023 INAWEZEKANA NDIO PICHA "KALI" ZAIDI YENYE UNYAMA MWINGI Katika picha ambazo viongozi wa juu wa nchi wamepiga katika matukio ya michezo

Picha imejaa Furaha
Picha imejaa Tabasamu
Picha imejaa Matumaini
Picha imejaa Upendo
Picha imejaa Amani

Picha ni Kali

Yaani picha ya "Unyama Mwingi"

Kama kuna mwenye picha bora zaidi alete
View attachment 2710965
View attachment 2710962
Ngojea wagalatia waje kuporomosha matusi ,wao furaha yao mtoto wakike avae nusu uchi au kichwa wazi
 
Back
Top Bottom