rais

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Nyusi arejea nchini Msumbiji baada ya kumalizika kwa Mkutano Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi ameondoka nchini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 na 26 Julai, 2023. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
  4. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Rais ni muajiriwa au muajiri?

    UTATA WA RAIS KUWA MUAJIRIWA AU MUAJIRI UNAFANANA NA KESI YA KIPI KILIANZA KATI YA KUKU NA YAI! Mi ninavyojua ni kuwa, sisi tunaojiita waajiri wa Rais, tunapomchagua Rais basi ni kuwa huwa tunachagua muajiri mkuu wa Taifa na, mara baada ya uchaguzi, sisi wote ni waajiriwa wake! NI MTAZAMO...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rais samia: Afrika imejaa fursa tele

    RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ni lazima vijana wabadilishwe mitizamo yao juu ya fursa mbalimbali zinazopatikana Afrika na kuondoa ile mitizamo ya kwenda nje ya bara hilo kutafuta maisha. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 26, 2023 katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

    Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam. Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nini kimelisibu gazeti la Raia Mwema?

    Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru, habari leo nk. Hii inaweza kuwa ni sababu ya Udini au mgao wa mwarabu umewafikia wahariri...
  8. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kutengenezea raia hasira dhidi ya Rais wao

    Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa. Inapofikia michakato inatendeka kimyakimya na wengi wao wakitarajia jipya kwenye pay tarehe ya pay July 2023 kunasababisha hasira na kinyongo...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

    Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa? Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto? --- Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini...
  10. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

    Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa...
  12. benzemah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!

    Wanabodi, Mjadala wa IGA ya DPW kupewa Bandari yetu ya Dar es Salaam, unazidi kushika kasi. Jana asubuhi nilipandisha bandiko hili Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do kuhusu hiyo...
  14. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Shekhe Mwaipopo, Wakristo wameshinda! Kwa hoja za wananchi! Tanzania imeshinda!

    Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba! Ieleweke hivi! Watu wanapinga mkataba na siyo wawekezaji! Wawekezaji waje na mikataba rafiki, na...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa kashfa hii tumbua waziri Ndumbaro na IG, kuokoa pesa za walala hoi

    Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda . Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa ampe nafasi Rais Samia kufanyia kazi mkataba wa bandari akiwa nje ya Ofisi za Umma

    Mbalawa ampe nafasi Rais ya kufanyia kazi jambo hili akiwa nje ya ofisi kiungwana kwa sababu ali oversee Mambo ya kumshauri RAIS Hata Kama alishauriwa na Rais pia Ila kwa Utaratibu wa kiutendaji alipaswa amshauri Rais mapema na kwa mpaka Hadi kukubali kuachia kiti kama angeona jambo Hilo si jema...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

    Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua. Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake. ===
  19. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamalanga: Tunalijua genge na kiongozi wake linalompangia Rais nini cha kufanya

    Friends and Enemies, Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi. Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 2 wanaoziwakilisha Nchi zao Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Pakistan nchini Tanzania Mhe. Siraji Ahamad Khan, na kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sierra Leone nchini Tanzania aliye na Makazi nchini Kenya...
Back
Top Bottom