rais

  1. comte

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023. Rais Katalin Novak yupo katika ziara ya siku nne Nchini Tanzania kuanzia Julai 17 hadi Julai 20, 2023, updates ya kinachoendelea Ikulu ya Magogoni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

    Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

    Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia. Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uanaharakati, vikundi vya kigaidi na maandamano ni mfumo wa vurugu kuwasilisha sauti ya watu

    Rais Samia leo July 17, 2023 amefungua mkutano wa wadau wa demokrasia barani Afrika unaowahusisha viongozi wakuu wastaafu mjini Arusha. Sehemu ya hotuba yake ameongelea namna ambazo si nzuri katika kufikisha hisia za wananchi. Rais Samia: Kushindwa kwa Serikali kuhudumia mahitaji ya msingi...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

    Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

    "Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

    ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
Back
Top Bottom