rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia na Serikali fuatilieni udhalilishaji wa Kingono unaofanyika kambi ya JKT Makutupora

    Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao. Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya JKT Makutupora maana kuna afande mmoja amefikia pabaya kwa tabia yake ya kudhalilisha watoto wa kike...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tamko la CCM nitaliamini 100% endapo tu Mwenyekiti wake Taifa na Rais Samia atakuja na uthubutu ufuatao

    Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  4. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
  5. goroko77

    JamiiForums Tanzania Napinga Rais kuhudhuria Sherehe ya Simba

    Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa...
  6. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mama Bonge wa Kariakoo asimama na Rais Samia Uwekezaji wa DP World Bandarini

    Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam Mama Bonge, ambaye huagiza...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mufindi wamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mitungi

    Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa. Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
  10. J

    JamiiForums Tanzania TIA Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaimarisha Kitaaluma

    TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia kiasi cha Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la taaluma. Hayo yamesemwa jana mjini hapa kwenye maonesho ya kilimo yanayofanyika eneo la Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa Taasisi ya TIA...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

    Kuna clip ya mwanafunzi wa shule ya sekondari Nganza inatembea sana mitandaoni akitukana Rais na viongozi wote wa serikali katika mkutano uliofanyika chuo Cha SAUT nani alimtuma ? Baraza la mitihani Lina namba yake ili tujue ni mwanafunzi kweli au kavalishwa uniform tu? Nashauri Baraza la...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

    Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu. Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Rais Putin aongezewa Kifungo cha Miaka 19 jela

    Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali. Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
  14. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji huku kwetu Mungumaji, Singida ni anasa badala ya Huduma

    Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo). Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote. Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa Sengerema apigilia msumari wa "akili matope" kwa Rais kuwapa DP World madaraka yake kama mdhamini wa ardhi

    Ni kuhusu kipengele cha mkataba kinachosema Rais akitaka kujenga chochote karibu na maeneo ya DP World kama vile hospitali karibia na bandari ya Isaka basi atatakiwa kwanza kuomba kibali cha DP World. Wakati Rais huwa ndio anaeombwa ardhi, sio yeye kuomba. Tundu akauliza hii ni akili au...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe, Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

    Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day. Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'. Mtakuja kuniambia. Pia soma: Rais Samia mgeni rasmi...
  19. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siku yako Uwanja haukujaa na ukaingiza Watu 'Fungulia Mbwa' halafu utegemee Rais Samia apoteze muda wake Kuja?

    Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo.... 1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro 2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC 3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup 4. Imeweka Kambi yake ya...
Back
Top Bottom