BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1691650265688.png

Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.

Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha kuacha Imani, Utamaduni, Kanuni na Uhuru wetu kwa sababu ya Pesa. Hatuhitaji shinikizo kutoka kwa yeyote kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu."

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema Uganda itaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia ili kuangalia namna bora ya kuondoa mkanganyiko uliopo.

Pia soma >Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

===============

Uganda's President Yoweri Museveni on Wednesday accused the World Bank of using money to try to "coerce" the government over its controversial anti-gay legislation.
His comments followed an announcement by the US-based global lender on Tuesday that it was suspending new loans to the East African country over what is considered among the world's harshest laws targeting LGBTQ communities.

The World Bank said that Uganda's Anti-Homosexuality Act "fundamentally contradicts" the institution's values and that no new public financing would be presented to its board of directors for approval for the time being.

But Museveni, who signed the measures into law in May, posted on X, the former Twitter, that "Ugandans will develop with or without loans".

"It is therefore unfortunate that the World Bank and other actors dare to want to coerce us into abandoning our faith, culture, principles and sovereignty, using money," the veteran leader said.

"We do not need pressure from anybody to know how to solve problems in our society."

Museveni nevertheless said Uganda was continuing discussions with the World Bank "so that they and we avoid this diversion if possible".

The United Nations, foreign governments including the United States, and global rights groups have condemned the new law, which contains provisions making "aggravated homosexuality" a capital offence and imposes penalties for consensual same-sex relations of up to life in prison.

In May, US President Joe Biden called for the immediate repeal of the measures he branded "a tragic violation of universal human rights" and threatened to cut aid and investment in Uganda.

But the government has remained defiant and the legislation has broad support in the conservative majority Christian country, where lawmakers have defended the measures as a necessary bulwark against alleged Western immorality.

Uganda's Information Minister Chris Baryomunsi also confirmed to AFP earlier Wednesday that consultations were ongoing with the World Bank.

"However, the World Bank and others should be reminded that Uganda is a sovereign country, which takes decisions in the interests of her people, and this is the spirit of the Anti-Homosexuality Act."

In the wake of Tuesday's announcement, Uganda's health ministry, which is among the recipients of the World Bank funds, issued a circular reiterating that no one should be denied medical services.

The statement said that healthcare providers and workers were "not to discriminate, stigmatise any individual who seeks health care for any reason, gender, religion, tribe, economic or social status or sexual orientation".

Rights campaigners had voiced concerns that following the new law, healthcare providers could report to the police members of the LGBTQ community seeking medical care, or that people would be wary of going to hospital for fear of being stigmatised.

CITIZEN DIGITAL
 
IMF,WB zote hizo ni ukoloni lakini umaskini wa akili wa watawala wa Africa hasa Tanzania ni majanga matupu,yaani wananchi wanalala kwenye vitanda vya kamba huku wabunge na mawaziri wakipambana kununua magari V8 Sasa unahisi hawa wakipewa misaada Kwa masharti ya LGBTQ watakubali tu
 
Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jumatano amishutumu Benki ya Dunia kwa kutumia pesa kujaribu "kuishinikiza" serikali juu ya sheria yake yenye utata dhidi ya wapenzi wa jinsia moja

Kauli ya Bw Museveni inafuatia tangazo la Benki ya Dunia la Jumanne kwamba inasitisha mikopo mipya kwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kutokana na kile kinachozingatiwa kuwa miongoni mwa sheria kali zaidi duniani zinazolenga jumuiya za LGBTQ.

Benki ya Dunia ilisema kuwa Sheria ya Uganda ya Kupinga Ushoga "kimsingi inakinzana" na maadili ya taasisi hiyo na kwamba hakuna ufadhili mpya wa umma utakaowasilishwa kwa bodi yake ya wakurugenzi ili kuidhinishwa kwa sasa.

Lakini Museveni, ambaye alitia saini hatua hizo kuwa sheria mwezi Mei, alichapisha kwenye X, Twitter ya zamani, kwamba "Waganda wataendeleza kwa mikopo au bila".

"Kwa hivyo inasikitisha kwamba Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutaka kutulazimisha kuacha imani, utamaduni, kanuni na uhuru wetu kwa kutumia pesa," kiongozi huyo mkongwe alisema.

"Hatuhitaji shinikizo kutoka kwa mtu yeyote kujua jinsi ya kutatua matatizo katika jamii yetu."

Museveni hata hivyo alisema Uganda ilikuwa ikiendelea na majadiliano na Benki ya Dunia "ili wao na sisi tuepuke upotoshaji huu ikiwezekana.

Awali Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Henry Okello Oryem alisema hatua ya Benki ya Dunia ni ya kinafiki. Alizishutumu vyombo vya Magharibi kwa kuwa wepesi wa kutoa mihadhara kwa nchi zilizo hatarini kuhusu demokrasia, lakini kugeuka na kuziadhibu pale zinapofanya kile ambacho hakiendani na maslahi ya madola ya Magharibi na taasisi washirika.

"Acheni unafiki huu," alisema. “Sheria hiyo ilipitishwa na Bunge la Uganda; hawa ni wawakilishi wa wananchi. Hiyo ndiyo demokrasia.”

"Tangu kupitishwa kwa sheria hii, hatujapata mtu wa LGBT hapa kuteswa, lakini kuna nchi za Mashariki ya Kati ambazo zinanyonga watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja. Hawazungumzi nini kuhusu nchi hizi? Mkanganyiko huu unaonyesha ukosefu wa haki,” alisema.

Kiongozi wa upinzani ambaye pia ni mwanamuziki Bobi Wine pia amepinga hatua ya Benki ya dunia kusitisha mikopo kwa Uganda kutokana na sheria yake dhidi ya mapenzi ya jinsi moja.
chanzo:
6d3b6832-f8ce-4ee4-929d-8af6fb80db0a.png
BBC Swahili
 
chanzo:View attachment 2713394 BBC Swahili
Viongozi wa Afrika ni wanafiki sana. Wanajifanya wana maadili mazuri wanayoyasimamia wakati huo huo wanalinda maovu makubwa yanayofanywa na wao wenyewe na watu wao wa karibu. Kuna makosa ya kimaadili na makosa ya kijnai. Kiuzito, makosa ya kijanai ni mazito zaidi kuliko ya kimaadili.

Waweke pia sheria kali kwa wanaofanya makosa ya kijinai na ukiukaji wa katiba na sheria, kwa mfano:

1) waweke sheria kali, za kifungo cha maisha dhidi ya viongozi, watawala na watendaji wa serikali wanaofanya ufisadi kwenye pesa ya umma.

2) waweke sheria kali kama vile kunyongwa au kufungwa maisha kwa kiongozi atakayekiuka katiba kwa makusudi kama vile kujaribu kujiongezea muda wa utawala wake, kuiba kura wakati wa uchaguzi, na kwa wanaokiuka haki za msingi za raia.

Ushoga, kimaadili na kiimani, ni dhambi, lakini wizi, ufisadi, mauaji dhidi ya wanaowakosoa watawala, kuwabambikia watu kesi wanaompinga mtawala, ni uovu mbaya zaidi kuliko hata ushoga. Ushoga mtu anaufanya kwenye nafsi yake, lakini matendo mabaya yanayofanywa na watawala wa Afrika yanatesa mamilioni ya wananchi.

Watawala na Serikali za Afrika, kama zingekuwa ni safi, halafu zikaweka na sheria kali dhidi ya makosa ya kimaadili, hakuna ambaye angewanyoshea vidole. Lakini kwa sababu wao wenyewe, wengi wao ni waovu, halafu wanajifanya wanachukia watenda makosa ya kimaadili na kiimani. Huo ni wanafiki tu. Ni sawa mtu ajifanye anaweka sheria kali dhidi ya wazinzi, wakati yeye ni jambazi la kutumia silaha.
 
Hivi haiwezekani Africa yote ikaamua hivi? Watafanya nini iwapo vinyeo vya waafrika sheria ikitungwa vitumike kutolea kinyesi tu kama ilivyo mila zetu? Mambo ya ajabu sana.
 
Hahaha M7 bila Westerners hata Miezi 6 hawezi kumaliza Madarakani.
View attachment 2713356

Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja.

Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha kuacha Imani, Utamaduni, Kanuni na Uhuru wetu kwa sababu ya Pesa. Hatuhitaji shinikizo kutoka kwa yeyote kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu."

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema Uganda itaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia ili kuangalia namna bora ya kuondoa mkanganyiko uliopo.

Pia soma >Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

===============

Uganda's President Yoweri Museveni on Wednesday accused the World Bank of using money to try to "coerce" the government over its controversial anti-gay legislation.
His comments followed an announcement by the US-based global lender on Tuesday that it was suspending new loans to the East African country over what is considered among the world's harshest laws targeting LGBTQ communities.

The World Bank said that Uganda's Anti-Homosexuality Act "fundamentally contradicts" the institution's values and that no new public financing would be presented to its board of directors for approval for the time being.

But Museveni, who signed the measures into law in May, posted on X, the former Twitter, that "Ugandans will develop with or without loans".

"It is therefore unfortunate that the World Bank and other actors dare to want to coerce us into abandoning our faith, culture, principles and sovereignty, using money," the veteran leader said.

"We do not need pressure from anybody to know how to solve problems in our society."

Museveni nevertheless said Uganda was continuing discussions with the World Bank "so that they and we avoid this diversion if possible".

The United Nations, foreign governments including the United States, and global rights groups have condemned the new law, which contains provisions making "aggravated homosexuality" a capital offence and imposes penalties for consensual same-sex relations of up to life in prison.

In May, US President Joe Biden called for the immediate repeal of the measures he branded "a tragic violation of universal human rights" and threatened to cut aid and investment in Uganda.

But the government has remained defiant and the legislation has broad support in the conservative majority Christian country, where lawmakers have defended the measures as a necessary bulwark against alleged Western immorality.

Uganda's Information Minister Chris Baryomunsi also confirmed to AFP earlier Wednesday that consultations were ongoing with the World Bank.

"However, the World Bank and others should be reminded that Uganda is a sovereign country, which takes decisions in the interests of her people, and this is the spirit of the Anti-Homosexuality Act."

In the wake of Tuesday's announcement, Uganda's health ministry, which is among the recipients of the World Bank funds, issued a circular reiterating that no one should be denied medical services.

The statement said that healthcare providers and workers were "not to discriminate, stigmatise any individual who seeks health care for any reason, gender, religion, tribe, economic or social status or sexual orientation".

Rights campaigners had voiced concerns that following the new law, healthcare providers could report to the police members of the LGBTQ community seeking medical care, or that people would be wary of going to hospital for fear of being stigmatised.

CITIZEN DIGITAL
 
Tunalazimishwa tufanye uovu wanaofanya wenyewe kwa sababu tumekuwa tegemezi kwao kwa asilimia mia moja na hii yote ni kwa sababu tumekosa uongozi. Ni hilo tu hakuna lingine.
 
Ngoja tuone atafika wapi kila siku kuomba amepata uhuru miaka nenda rudi bado ana omba kama mshenzi akatae msaada kweli na tuone kama atatawala miaka mingapi zaidi hajui kama hiyo mikopo ndio inamuweka madarakani kwenye udikteta wake
 
Kuna mtu Alisema humu ndani hivi Waafrica tuna laana au kuna tatizo gani la kiufundi ?..mf...Africa yenyewe ni bara kubwa sana....linaweza kujitawala hata bila ya wazungu circulation ingewezekana kabisa kabisa...Hawa watengeneze magari kule nguo Hawa chakula kule madawa ,Bank ya Africa yenye meno,....mafuta sehemu Fulani Fulani....Science ya kwetu Kila kitu chetu....tatizo ni ubinafsi.....Kila mtu na familia yake tu tumejichorea mipaka....hatufikiri habari ya kesho......Mf Hilo biti alilochimbwa Museveni ingetakiwa umoja wa Africa uwashe red light kichwani.....hivi kesho wakituambia tulale na Binti zetu ndio tusaidiwe itakuwaje?Umoja umenyamaza kimyaaaaaa.....na wao hawaijali kesho....hawakemei....sijui mwisho itakuja iweje!....
 
Back
Top Bottom