rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KIBOD3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  2. Girland

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  3. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani rafiki yangu na pole kwa familia nzima

    Wakuu habari za uzima? Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo. Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi. Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya...
  4. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Nyota njema ilianza kuonekana mapema kwa rafiki yangu

    Ndugu zangu wana JF nafikiri wengi tulipata kusikia Msemo wa nyota njema huanza kuonekana mapema. Siku za nyuma kidogo nilileta uzi nilivyokutana na mwalimu wangu m- polish alikuwa akinifundisha biblia, sasa pale shuleni nilikuwa na rafiki tulikuwa tunafananishwa sura kasoro tu yeye alinizidi...
  5. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  7. lusanasaimon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu yuko njia panda

    Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote. Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
  8. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimemcheka sana rafiki yangu kutoka Ghana kwenye kilimo cha Almond nikamkumbuka mzee wa Madungu jeshi kwenye kilimo cha Canola

    Mzuka Wanajamvi, Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40. Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa. Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu anaitwa Alfred Nguruko

    Ni mwenyeji wa Tanga ambaye tulikuana Mtwara Masasi na Singida kama yupo humu tuwasiliana hapa
  11. Chale david

    JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

    Kuna rafiki yangu tunabeba tofarik wote hapa saiti; analalamika anakaa kwao, mama yake anamuambia dada wa kazi kuweka pilipili kila sehemu. Pilipili mpaka kwenye ugal sasa mhuni pilipili inamshinda ila mama mzazi anasema ni nzuri na hana mpango kuipunguza na tabia anasema imeanza ina kama miez...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

    Namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi mr Twalal Bungera, mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 2014 tukiwa Tamil Nadu nchini India. Mr Twalal Bungera nilipata tetesi alipata ajira kwenye makampuni ya IPP ya marehemu Reginald Mengi. Kwa yeyote mwenye taarifa zake anicheki pm
  14. Von_Lufuta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  15. Jugado

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka Rafiki Yangu Gershom Chihota (1950 - 2023)

    NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023) Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani. Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada ndani ya ubongo wa binadamu. Nataka kuanza na Ally Max. Ally Max ni mdogo sana kwetu hapa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

    Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee. Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa...
  18. Bounty hunter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My confession

    There's this girl, she's not my girlfriend but she holds a special place in my heart. It's both thrilling and terrifying to admit that she has captured my thoughts and emotions in a way no one else has before. Her radiant smile illuminated every room she entered, and her laughter was like music...
  19. willpower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harakati za Mapenzi zilivyompeleka jela rafiki yangu

    Wasalaam; hii ilitokea, Nakumbuka miaka ile, tukiwa tumehitimu kidato cha sita, mtaani kwetu tulikuwa vijana 6 ambao tulikuwa tumehitimu elimu ya sekondari. Miaka ile utaratibu wa kujiunga na elimu ya Chuo Kikuu ilikuwa unasubiri mwaka mzima nyumbani. Utamaliza kidato cha sita mwezi wa tano...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

    Tuanze na mwanzilishi wa neno "mbususu" sijui aliwaza nini. Linafanania na mahala husika. Wanawake walitambue hili Twende kwenye hoja. Huyu rafiki hana cha maana cha ku-share na wenzie tofauti na ulaji wa mbususu Utaskia mara oh mama fulani nimemla, mara mtoto wa fulani ana mbususu yenye...
Back
Top Bottom