lusanasaimon

Senior Member
Jan 19, 2023
111
264
Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi;

Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote.

Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa kufungua kigoli (biashara) x, na katika mihangaiko hiyo alikujaga kupendana na mwanamke mmoja ambae ni single mother wa mtoto mmoja na wame hustle wote kwa muda wa miaka mitatu.

Wwaliamua kuishi pamoja ili kupunguza bajeti ya kila mtu kupanga chumba chake, ingawa hajawahi kwenda kujitambulisha kwao na mwanamke pamoja na mwenzake kumsumbua kuhusu hilo.

Jamaa anadai huyo mwanamke yuko vizuri na anampenda kwa sababu wamekuwa wanasaidiana na kuvumiliana kwa vingi isipokuwa huyo mwanamke amekuwa na tabia ya kutumia pombe na jamaa hapendi na amekwisha muonya na kumshauri aache lakini mwanamke hasikii, na jamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana na wamesota sana mpaka jamaa kusimama kiuchumi si haba.

Sasa issue imekuja baada ya jamaa majuzi kutembelea nyumbani kwa wazazi wake anadai wamemsakama sana kuhusu kuoa wanadai amekuwa sasa, na amewaficha kama anaishi na mwanamke kwasababu anahisi hatoweza kutimiza ahadi za kumuoa kwa sababu kadhaa pamoja na hilo la pombe. Kibaya zaidi wameamua kumtafutia mchumba kabisa anadai ni kabinti kazuri tuu.

Sasa anaomba ushauri, atumie njia gani yakumuacha huyo mwanamke bila kumsababishia maumivu?

Najua kuna watu humu wameshawahi kuyapitia haya.

Karibuni kwa maoni yenu.
 
Kwakweli hakuna kazi ngumu kama kumdhibiti mwanamke cha pombe hakika lazima ujute kumpenda!

Mwanamke yeyote chapombe huvuliwa nguo na yeyote yule bia zikishaingia kinywani basi zinashuka chini… ! Mwanamke chapombe ni hatari kuliko mdangaji………!Mwanamke chapombe anaweza kuchezewa au kuliwa hapo hapo baa na asijitambue…..

NakuoMbea Mungu kikombe icho kikuepuke kabisa!
 
nina rafikiangu yeye amekuja kuniomba ushauli
iko hivi yeye (rafikiangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote,

anasema mungu si asumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa kufungua kigoli (biashara) x. na katika mihangaiko hiyo alikujaga kupendana na mwanamke mmoja ambae ni single mother wa mtoto mmoja na wame hustle wote kwa muda wa miaka mitatu,

na waliamua kuishi pamoja ili kupunguza bajeti ya kila mtu kupanga chumba chake ingawa hajawahi kwenda kujitambulisha kwao na mwanamke pamoja na mwenzake kumsumbua kuhusu hilo,
na jamaa anadai huyo mwanamke yuko vizuri na anampenda kwa sababu wamekua wanasaidiana na kuvumiliana kwa vingi isipokua huyo mwanamke amekua na tabia ya kutumia pombe na jamaa hapendi na amekwisha muonya na kumshauri aache lakini mwanamke hasikii, na jamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana na wamesota sana mpaka jamaa kusimama kiuchumi si haba.

sasa issue imekuja baada ya jamaa majuzi kutembelea nyumbani kwa wazazi wake anadai wamemsakama sana kuhusu kuoa wanadai amekua sasa, na amewaficha kama ana ishi na mwanamke kwasababu anahisi hatoweza kutimiza ahadi za kumuoa kwa sababu kadhaa pamoja na hilo la pombe. kibaya zaidi wameamua kumtafutia mchumba kabisa anadai ni kabinti kazuri tuu

sasa anaomba ushauli atumie njia gani yakumuacha huyo mwanamke bila kumsababishia maumivu ?

najua kuna watu humu wamesha wahi kuyapitia haya

karibuni kwa maoni yenu
Toka haraka sana hapo njiapanda tayari taa zimesharuhusu magari kupita....

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu kuhusu pombe tu kama ni hutu tu pombe twa kutuliza mawazo oa tu huyo mwanamke. Mi mwenyewe mwanamke ambaye hajawahi gusa pombe siwezi hata kumwuliza njia nikiwa nimepotea. Kwa kifupi hata salamu yake tu naijibu kwa shida sana
 
nina rafikiangu yeye amekuja kuniomba ushauli
iko hivi yeye (rafikiangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote,

anasema mungu si asumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa kufungua kigoli (biashara) x. na katika mihangaiko hiyo alikujaga kupendana na mwanamke mmoja ambae ni single mother wa mtoto mmoja na wame hustle wote kwa muda wa miaka mitatu,

na waliamua kuishi pamoja ili kupunguza bajeti ya kila mtu kupanga chumba chake ingawa hajawahi kwenda kujitambulisha kwao na mwanamke pamoja na mwenzake kumsumbua kuhusu hilo,
na jamaa anadai huyo mwanamke yuko vizuri na anampenda kwa sababu wamekua wanasaidiana na kuvumiliana kwa vingi isipokua huyo mwanamke amekua na tabia ya kutumia pombe na jamaa hapendi na amekwisha muonya na kumshauri aache lakini mwanamke hasikii, na jamaa anashindwa kumpiga chini kwasababu mwanamke anampenda sana na wamesota sana mpaka jamaa kusimama kiuchumi si haba.

sasa issue imekuja baada ya jamaa majuzi kutembelea nyumbani kwa wazazi wake anadai wamemsakama sana kuhusu kuoa wanadai amekua sasa, na amewaficha kama ana ishi na mwanamke kwasababu anahisi hatoweza kutimiza ahadi za kumuoa kwa sababu kadhaa pamoja na hilo la pombe. kibaya zaidi wameamua kumtafutia mchumba kabisa anadai ni kabinti kazuri tuu

sasa anaomba ushauli atumie njia gani yakumuacha huyo mwanamke bila kumsababishia maumivu ?

najua kuna watu humu wamesha wahi kuyapitia haya

karibuni kwa maoni yenu

Always, kuna sababu kwa nini ni single Mama, ila shida yangu kubwa sishauri watu walio kwenye vifungo, nawashauri kabla.
 
kwanza kabisa asije kuthubutu kumpiga huyo mumama mlevi alielewa, hali ya kua yeye hatumii kilevi na hajalewa.

pili, tabia ya ulevi ya huyo mumama inatosha kabisa kumpiga chini kwani tayari umesha muonya mara kadhaa..

tatu, huyo mumama ana mwenza wake mwenye mtoto nae,
na kwahivyo atakua na ujasiri mkubwa wa kukuumiza zaidi huko mbele hususani nyakati atakapokua anawasiliana na mzazi mwenzake kuhusu mtoto wao.

piga chini, chukua manzi fresh muanze maisha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom