rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Smart AJ

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa karibu anatakwa kimapenzi na mpwa wake

    Salaam enyi watu wa Mungu, bwana weeh mi nna mshikaji wangu mmoja,ni rafiki haswa tangu huko shule ya sekondari miaka takribani miaka kumi,hivyo tunaelezana mambo mengi tu binafsi. Sasa siku ya siku bwana,nilikuwa nae jamaa pamoja na kaka yake,ambaye kimsingi naye ni rafiki yangu ila baada ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameachwa na Mwanamke aliyepanga kujitambulisha kwao na kumuoa

    Huyu ni rafiki yangu Nimesoma nae chuo, hivi majuzi kaniambia ya kuwa Mchumba wake aliyepo masomoni Chuo fulani Alimwambia Anataka akajitambulishe Ili awe mke wake mtarajiwa Rasmi. Lakini Bidada ghafla na wakati huo huo akamtumia Rariki yangu Ujumbe huu ufuatao... "Am sorry Dear I know una nia...
  3. Lawrichie

    JamiiForums Tanzania Nimepewa zawadi ya Condom na rafiki yangu wa kike

    Poleni na majukumu wakuu. Nipo kwenye mahusiano ya kirafiki na binti mmoja hivi kwa miaka mitatu sasa. Ni binti ambaye tunaelewana sana karibu kila kitu. Tunasaidiana, tunashauriana, tunapendana, tunaheshimiana sana kama marafiki, lakini zaidi tunaongea kuhusu kila kitu. Kilichonifanya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

    Habari Wakuu! Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu? Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo? Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu! Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Kisa cha rafiki yangu wa Mafia

    Habari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi. Mimi nimezaliwa na kukulia kisiwani mafia, shuleni kwetu tangia naanza darasa la awali mpaka namaliza darasa la saba, hapakuwahi kuwa na mwanafunzi mkristo, sote tuliwa wa imani ya uislamu. Aliwahi kuja mwalimu mmoja wa imani ya ukristo...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

    Ilikuwa ni jumamosi moja tulivu, nikiwa na watu wangu kadhaa tuliosoma wote shule ya msingi tuliamua twende kwenye pori moja lililo kilometa kadhaa kutoka kwenye kijiji ambacho kwa umoja wetu (tuliomaliza pamoja shule ya msingi) tuna shamba ambalo tulinunua kwa pamoja. Basi tukanunua vinywaji...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
  10. Little brain

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amemfuma mke wake na katoto kenye miaka 16

    Imetokea jana jamaa katoka chimbo usiku kamkuta wife wake juu ya kifua cha katoto wife hakujua jamaa anarudi siku hiyo. Kinacho nishangaza ni kwamba mke wa rafiki yangu ana mimba kubwa tu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

    Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu. Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

    Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari. Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu...
  13. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Naogopa kwenda kwa rafiki yangu

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua. Huyu jamaa yangu anafanya kazi mkoa mwngn Ila jirani na mkoa niliopo na nilipo Mimi ndipo familia yake...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kama upo Chuo Dodoma jua mkeo huku anagegedwa vibaya mno

    Habari zenu wakuu! Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
  15. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

    Wewe:Oya! Yeye:Niambie! Wewe:Mzima? Yeye:Mimi mzima wewe je Wewe: Niko poa Yeye:Okay KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII: Jamaa:Mambo mrembo wewe Msichana:poa mzima wewe? Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

    BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu. Kifo hakizoeleki hata kidogo. Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa. Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu

    Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu! Leo jioni katika makaburi ya Kisutu tumemzika Wendo Mwapachu. Nimemjua Wendo kwa kujulishwa kwake na Ted kama tulivyozoea kumwita. Ted sasa hivi Chief Edward Makwai wa Siha ndiye aliyenijulisha kwake. Wao ni ndugu wa damu na ni siku hiyo hiyo nilimjua kaka...
  18. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Kuna kubwa la kujifunza kupitia huyu rafiki yangu...

    Miaka 4 iliyopita nilikutana na huyu jamaa. Ilikuwa ndani ya basi la kutoka kwetu huko nyanda za juu kusini magharibi ambako kwa wakati ule nilienda kumzika babu yangu mzaa mama (Rest in peace Grandpa). Tulipofika Morogoro, abiria wengine walishuka na kupanda wapya ili tuimalize safari ya...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu na Rais wangu wa TFF Karia kwa yanayoendelea Uwanja wa Songea nimekusamehe ila Kosa hili lisije likajirudia tena

    Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia. Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
  20. Thomas10

    JamiiForums Tanzania Nilivyomshauri rafiki yangu aliyeachwa na mpenzi wake

    Rafiki yangu wa karibu, aliachwa na mwenzi aliyemhudumia kwa miaka takribani sita (6) hivi. Alianza nae mahusiano binti akiwa amemaliza kidato cha nne, aliapata ufaulu wa daraja la nne (div 4 point 28) Alijitoa kumlipia ada na mahitaji mengine ya kibinadamu tangu alipoanza masomo ya ngazi ya...
Back
Top Bottom