Namtafuta rafiki yangu Twalal Bungera

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,730
11,082
Namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi mr Twalal Bungera, mara ya mwisho kuonana ilikuwa mwaka 2014 tukiwa Tamil Nadu nchini India.

Mr Twalal Bungera nilipata tetesi alipata ajira kwenye makampuni ya IPP ya marehemu Reginald Mengi.

Kwa yeyote mwenye taarifa zake anicheki pm
 
Back
Top Bottom