Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

The best way

Member
Mar 16, 2023
23
53
Habar za jumamosi wana-jamiiforums,

Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake

Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo linalifanania na lile aliloota.

Sasa siku moja huyu jamaa akaniambia kuwa ameota kuwa "anakabiziwa aendeshe gari na baba yake mzazi ila cha ajabu wakati anakabiziwa gari aliendeshe kabla ya kukaa vizuri na kulikontroo gar vizur gar inaanza kwenda yenyewe japo kwa mwendo wa taratbu ambaoo anauwezo wa kulikontroo akaendelea na safar vzuri". anasema ndoto hii ameota zaidi ya mara saba kwa nyakat tofaut na huwa inajirudia vile vilee hadi akaanza kuingiwa na hofu ikabidi anisimulie, mimi nikamueleza kuwa sifahamu maana yake nikamsihi ajarbu kumuuliza mtu mzima anaemwamini labda anaweza kumsaidia kimawazo.

Maisha yakawa yanaendelea siku moja ananiambia tena kaka nimeota tena ile ndoto na inanikosesha raha sana maana hata baba ninaemuota ananiachia gari niendeshe hilo gari yeye hana. sasa siku moja nilikuwa kijiweni mida ya jioni tunacheza draft pale kijiwen na watu mbali mbali na utani wa hapa na pale, kuna mzee mmja huwa namwonaga anakuja kucheza pale draft huyu mzee alikuwa mkuu wa gereza hapa mkoani kwetu ila kwasasa amestaafu, sasa tukacheza draft kwa njia na mtoano anaefungwa anatoka hadi ikafikia hatua ya kukutana mimi na huyu mzee katika mechi ya drafti tulicheza kwa mda sababu mda ulikuw na watu wengi walishatawanyika hvyo tulibaki wawili tu pale kwenye drafti, katika story za hapa na pale za siasa na mpira na mambo yakawaida ndipo nikakumbuka ndoto ya jamaa yangu inayomtesa sana nikajisemea ngoja nimuulize huyu mzee labda anaweza nipa mwanga utakaomsaidia rafiki yangu, basi nikamsimulia ndoto yote na nikamwambia huwa inajirudia zaidi ya mara nane sasa, yule mzee akaacha kucheza draft akaniambia nimsindikize kwake ili nimsaidie kubeba mizigo kidgo alinunua pale kijiweni kwetu, basi wakati tunatembea ndipo aliponiuliza hiyo ndoto umeota wewe au nani?

nikamjibu hapan sio mimi ila ni ndugu yangu tu, ndio alipoanza kufunguka kuwa kuna wakati MUNGU hutumia ndoto kufikisha ujumbee hasa ndoto zinazojirudia sio za kupuuzia hata kidgo zinakuw na ujumbe flan ndani yake, akaendelea kwa kuniuliza huyo ndugu ni mtoto wa ngap katika familia yake nikamjibu wakwanza, anafanya kaz gan nikamwambia amemaliz chuo na bado hajafanikiw kupata kazi, akaniuliza kama naifahamu vzur ile familia nikamjibu ndio sana tu akaniuliza huyu baba wa rafik yako ni mtu wa aina gan nikamjib ni mtu aneishi normal life tu, akaniuliza tena katika hyo familia huyo baba na mke wake nani anawajibika pakubwa kutunza familia nikajibu sina uhakika ila atakuwa ni huyo baba maana mama wa familia ile hana kazi na mama wa nyumban tu.

akaniuliza tena ukoo wa hyo familia ipoje kwa upande wa baba nikamjibu kawaoda tu , akaniuliza kama najua huyo baba kama anakaka zake au wadogo zake wa kiume nikamjibu ndio yupo mmoja ambaye rafiki yangu huyo anamuita baba mkubwa, akaniuliza ni mtu wa aina gan huyo baba mkubwa nikamjibu kwa zaid sijui ila ni mtu wa pombe sana na huw hajar kitu na hata mara ya mwisho kumuona ni kwenye msiba wa bibi yake mzaa baba huyo rafiki yangu , na siku ile alizingua sana aliacha watu wapo msibani anaenda bar kunywa pombe hadi watu wakawa wanamtafta kama kaka mkubwa wa familia aje awe anasalimiana na watu wanakuja pale msiban lakin hakuwepo ndipo ilipogundulika yupo bar so ni mtu asieleweka vizur na mambo mengi ya ukoo ule baba wa rafiki yangu ndio anasimama kama baba japo anakaka yake mkubwaa tu, ambaye ndio huyu anaelewa pombe na asiyejar chochote kile.

Tukafika kwa yule mzee mstaafu tukasimama nje geti ya nyumba yake kubwa tu inayolindwa hadi leo na askari police wa Tanzania. ndio alipo niambia kuwa kwa uelewa wake kulingana na hyo ndoto na maisha ya hyo familia na uwo ukoo kwa kifupi ni kuwa huyo jamaa yako ambaye ni rafiki yangu mimi atakuja kuw kiongoz wa hyo familia au huo ukoo yeye ndie atakuwa kichwa kuwaongoza wadogo zake ,wazazi wake na kuwaunganisha ndugu zake katika ukoo, na ataaza majukumu hayo bila kuw tayar kiakili wala kifedha lakin atajikuta yupo tayar yeye ndio anawajibika kwa kila kitu katika familia hiyo, akamaliza kuniambia hyo ndio maana ya hyo ndoto kwa upande wangu nilivyoielewa japo ndoto huwa na zaidi ya maana mbili. Basi tukaagana yeye akaingia kwake nami nikarudi zangu home, kesho yake nilipokutana na yule rafiki yangu nikamsimulia yale yote nilioskia kutoka kwa yule mzee mstaafu. jamaa yangu akaguna guna pale tutachana na ile story ikapita.

Imepita miaka miwili sasa ndio leo nimemkumbuka yule mzee na hii ni baada ya rafiki yangu kuwa katika majukumu mazito ya kifamilia na kipate chake bado kidgo kukabiliana nayo,anawasomesha wadogo zake wawili chuo, anamuuguz mama yake ni mgonjwa kwa sasa, ana mke anaehitaji matunzo ana mtoto anaesoma anawajibu wa kulipa ada, kiufupi jamaa ana majukumu mengi ambayo mengi ni ya familia yake baba, mama, wadogo zake. baba yake kwa sasa hana kipato cha kutosha hvyo mambo mengi jamaa anawajibka yeye.

Hitimisho langu ni kuwa Tusiwe tunapuuzia ndoto kuna wakati huwa zinatupa ujumbe fulan ili kujiandaa ana kuwa tayari na jambo fulani.
 
Suala la kuamini ndoto ni completely upon yourself, utaamua mwenyewe kama unataka, ni kama kuamua kwenda kwa gari au kwa miguu.
 
H

Hii imekaa poa,, mtoa mada jaribu kupitia hii comment kwa umakini na uitafakari.

Sijawahi kuamini ndoto kuniongoza ama kuniambia kesho yangu kama utabiri

Siamin ndoto

Ndani ya ndoto huwa kuna ujumbe, japo sio mara zote....mie huwa sipuuzii ndoto.
 
Ndoto hazina maana yoyote, ni za kupuuzia tu

Ila ndoto nazo, sio kwa ubaya ndio uote gari?😂

Au unaota unaenda ulaya😂
Ndio maana mi ikitokea nimeota nikishtuka naguna tu na kama lukwiri nachapa lapa

Nishaota nyingi sijawahi kutafuta cha tafsiri wala baba yake tafsiri na life linasonga
 
Back
Top Bottom