rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa Rafiki yangu ameingiziwa kitu kwenye account ili aende Mkutanoni Kawe

    Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana. Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Namtafuta kijana wa rafiki yangu

    Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya...
  3. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

    Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kamususa mke

    Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

    Habari waungwana! Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu. Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
  6. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

    Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!! Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kweli cha Rafiki yangu Tajiri ambaye kwa sasa anaokota Makopo

    Tafadhali naomba usikilize radio yetu hapa kisha add kama favorite Jesus News Radio Leo nataka nikupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa, lakini alikuwa na kiu ya mafanikio isiyo na mfano. Tukiwa shule hakuwa mwanafunzi wa kushika namba...
  8. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

    Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Mauti ya Rafiki Yangu

    Maboss kwema umu? Aya mandoto bhaana miyeyusho kweli jana usiku nimeshituka mida mibovu balaa baada ya lindoto la kutisha nimeota rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapiga naye job wilaya fulani za mikataba endelevu kisha akaacha na kusepa ,nimeota bhana eti hakuondoka salama ni kama...
  10. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  11. Heci

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniibia dodoki la kujisugulia

    Hii dunia ina watu wa ajabu Sana. Huyu rafiki yangu ana asili ya Mbulu na anaishi Bunju ambako ana mke na watoto wawili. Last week alinipigia simu mida ya saa kumi na mbili jioni kuwa anataka tuone na yeye amefika jirani na nyumbani kwangu Ununio. Nikamweleza kuwa nipo home. Nyumba yangu...
  12. FYATU

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha. Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia. Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa. Ndipo...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  14. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa Kike simuelewi jamani!

    Naombeni ushauri au neno lolote. Hapa ninapoishi (Ubungo) nimepata mgeni wa kike. Dada huyu alikuwa ni rafiki yangu wa huko nyuma kabla sijaachana na ile kazi ya haramu niliyokuwa naifanya kule Mori na Dodoma. Sasa huyu mgeni kwanza nimeshangaa kapajuaje hapa ninapoishi na licha ya hivo pia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeona uchi wa mama wa rafiki yangu.

    Wakuu Kwa masikitiko makubwa sana naleta huu uzi hapa jamvini. Nimemtembelea rafiki yangu ambae aliniambia yuko likizo nyumbani kwao,sasa nimefika nikapiga hodi hakuna aliyeitikia,nikaamua kukaa nje tu pale nisubiri wahusika waje,huyu jamaa kwao wanatumia bafu la nje,nikaona mlango wa bafu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  17. innocentmark

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  18. Alubati

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ChartGPT

    Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

    Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza. Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...
  20. U

    JamiiForums Tanzania rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Back
Top Bottom