Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu:
1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu.
Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana.
sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Rafiki yangu wa siku nyingi Salvanus Kamugisha ni mtu tuliyeshibana.
Licha ya sote kutoka kanda ya ziwa lakini misimamo yetu kimaisha ilikuwa inalingana.
Kwa miaka mingi tatizo la Salva lilikuwa langu na la kwangu lake.
Hivyo basi jana jumamosi jioni nilipomkuta anakata bia mbimbili za mnyama...
Wakuu mmebarikiwa.
Iko hivi, kuna kazi nliipata mikoa ya Kanda ya Ziwa na nlitegemea kupata pesa nyingi sana ila kwa bahati mbaya mambo yamekwenda tofauti kabisa.
Wakati nafika huku nilikutana na rafiki yangu ni mchungaji nilimuahidi nikipata pesa hizo nitamsupport kifedha kwenye huduma ya...
Kawa kama zombi
Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa laki 5 maana hii mashine inauzwa takribani laki 8 madukani, kazi zilinitinga nikawa nimeiweka tu...
Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma!
Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi.
Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake.
Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako
Au...
Rafiki yangu tuliyesoma wote yeye yupo kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Arusha ingawa bado hawaja tambulishana kwa ndugu na wazazi mpaka sasa.
Rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauri sijui namsaidiaje, anadai kuwa anampenda sana huyo binti nae binti halikadhalika, tatizo kubwa ni kwamba huyo...
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!
ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.
Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
"Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni."
Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia moja ya maisha.
Tangeni, Mzumbe - Morogoro ndipo nilipozaliwa na kusoma shule ya msingi kabla ya...
Kuna papuchi nimekuwa nikiifukuzia na kuiomba kuichakata ni mwezi wa tano sasa. Juhudi zangu zote hazikuzaa matunda mbali na kuhonga sana, kutumia muda wangu ipasavyo.
Katika harakati za kukata tamaa, binti wa watu akaniahidi kunifanyia surprise! Siku ya juzi usiku, kwa mara ya kwanza, binti...
Zilikuwa tetesi ila kumbe ishakuwa kweli na juzi nilikuwa Uganda majamaa zangu kibao wakawa wananitext WhatsApp kuwa lile jambo tulilokwambia nileo Mariam anaolewa na Hasani. Nikasema sio kweli, jioni naona meseji na picha za ndoa ya mkeka zinamiminika kama maji ya mtoni.
Tahadhari. Adui wako...
Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana.
1. Anaweza kuvaa brazia zako .
2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani .
Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini?
Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu.
3. Hapendi wewe ukiwa...
BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI
Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam.
Ibrahim tumekuwa sote udogoni tukicheza mpira Saigon.
Huu ni mwaka wa 1966 umri wetu haujapita Miaka 15.
Leo...
Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe.
Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba.
Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.
Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.