picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kupiga Picha ukiwa ama umeshika Gari la Kifahari au umekalia katika Kiti cha Dereva huku ukijijua kabisa kuwa hujui hata Kuendesha kuna maanisha nini?

    Mliosoma na Kubobea hasa katika Saikolojia hii hali huwa mnaiitaje na Kitendo husika pia huwa kina maana gani kwa Mhusika?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka hii picha ya lijualikali nasikitika

  3. The MVP Tricks

    JamiiForums Tanzania Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

    Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi. Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
  5. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Picha zake tangu ujenzi hadi kukamilika Bei chee!

    Folks hapa bei utajipangia mwenyewe karibu sana
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

    Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga . Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Habari za corona katika picha

  8. fungi6

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo litachimbwa shimo kubwa kutokea upande wa pili wa dunia?

    Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama, -mantle(2) -crust(1) -core(3) Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Anayeijua picha ya mmea wa Mlungulungu naomba anitumie tafadhali

    Nipo napata darasa la kujifukiza kupitia ITV kipindi cha Kipimajoto kwa wataalamu wa NIMR na Muhas. Watu wameutaja mmea wa mlungulungu kwamba ni mzuri sana kwa kujifukiza. Naomba anayeujua huu mmea anirushie picha yake. Ahsante kwa ushirikiano. Maendeleo hayana vyama!
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  11. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaonesha nyoka akipambana na msumeno

    Hii picha inaweza ikatufundisha Mambo kadha wa kadha katika MAISHA yetu ya kila siku
  12. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Historia katika picha hivi ndivyo dikteta Kwame Nkurumah alivyopinduliwa Ghana 1966

    Hio ilikuwa mwaka 1966 baada ya waghana kuchoshwa na udikteta wa kwame nkurumah ambaye alijifanya Mungu mtu alikuwa hataki kukosolewa alipinduliwa akaenda kuishi uhamishoni guinea ambako alifia huko
  13. toriyama

    JamiiForums Tanzania EX wako akipost picha yako na caption ya "I miss you so much"...

    Upo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much" swali 1. Utaifafanua vipi hiyo issue? 2.Utachukua uamuzi gani? 3.Ni sawa yeye kufanya hivyo? Nawakaribisha katika mdahalo huu wakuu
  14. fungi6

    JamiiForums Tanzania Post picha yoyote tuitafsiri

    NB: Isiwe picha ambayo mtoto au mzee wa makamu ataisi ni laana ya hiki kizazi Mimi nikanza na hii picha hebu anae weza itafsiri aitafsiri maana wabongo hiki ni kipaji chetu 1,
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

    Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
  16. COVID 20

    JamiiForums Tanzania Nimeokota simu ndani yake kuna picha ya mke wa mtu katuma akiwa mtupu

    Mambo zenu ndugu zangu Jioni ya leo kuna mtu mmoja mwanamme kadondosha simu aina ya Samsung na kwa bahati mbaya zaidi haina password. Sasa katika kutaka kuichunguza tumeingia Whatsap katumiwa picha za utupu na mke wa mtu ambaye ni mwalimu katika Shule ya Msingi na ambaye mme wake yupo kikazi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni

    Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya kijamii ilitumika kumlaghai mwanamke mmoja huko Uingereza akatoa fedha zake nyingi na kuibiwa. Bloga mmoja alikuta picha ya familia yake inatumiwa kwenye tangazo...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tawala ulimwengu wako ili ukuoneshe picha unayoitaka

    Angalau kila binadamu anaweza kuuona ulimwengu wake ndani yake. Jambo hili ni jambo linalompa Mwanadamu uwezo mkubwa sana wa kuamua juu ya maisha yake. Furaha au huzuni ni picha za kiakili ambazo Mwanadamu anaweza kutengeneza ndani yake kwa kujua au kutojua ila angalau anao uwezo wa kuamua...
  19. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Mwenye Picha ya Karantini (quarantine) wanapopelekwa ndugu zetu atuonyeshe

    Nimeperekenyua kila mahali kujua wanapopelekwa ndugu zetu ki ukweli hadi sasa hivi sijajua wanapelekwa wapi,J ana mtaani nyumba ya jirani wamebebwa nyumba nzima wapangaji zaidi ya 7 na familia zao eti kisa tu hiyo nyumba kapatkana mgonjwa mwenye korona mmoja, kwa wingi wa wale wapangaji...
  20. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Usipite bila kuweka neno japo moja kwenye hii picha

    Tuna mengi ya kujifunza jinsi ya kuishi
Back
Top Bottom