Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

Mao Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Posts
210
Reaction score
231
Pongezi JF

Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote.

Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa katika Chama chake.

Lakini jambo la kustusha pia Ni tetesi kuwa TAKUKURU wameonywa kupunguza taarifa za Rushwa katika Uchaguzi huu, Maeneo mengi wamekamata na kuachia watuhumiwa.

Pia kumetumika pesa ambazo zimelipwa hadi kwa njia za mitandao ya simu. Jambo hili linaweza kufanyiwa kazi kwa nguvu ndogo Sana na wahusika kupatikana.

Wako wabunge watakao ingia kwa haki, lakini wako wataoingia kwa matumizi makubwa ya pesa. Hili linaweza kutatanisha usimamizi makini wa miradi ya kijamii.

CCM Pongezi lkn Ng'oeni Visiki vya Rushwa.

Cc Polepole, Dr. Bashiru na Mwenyekiti
 
Ukiripoti matukio ya rushwa utanikuta unareport chama kizima. Angalia picha na video kwenye attachment
 

Attachments

  • IMG-20200722-WA0050.jpg
    IMG-20200722-WA0050.jpg
    63.7 KB · Views: 6
  • VID-20200722-WA0048.mp4
    9.2 MB
  • VID-20200722-WA0049.mp4
    12 MB
Mama Mary Mwanjelwa kule Mbeya kapiga magoti kuomba viti maalumu kama mwendawazimu, kama tukimwomba ile rushwa yetu pendwa wala hawezi kuchelewa.
 
Lengo la uzi huu ni kuwabaini na kuwaanika watoa rushwa kwenye chaguzi zote zinazoendelea sehemu mbalimbali nchini.

Kama una picha au video iweke hapa tusaidie kutokomeza rushwa.

 
daahhh... kuna picha moja inatembea sana kwenye mitandao, Jamaa misimbazi imejaa kwenye kapero mpaka imetokeza kwenye chogo
 
Maji ya Tsh 10,000 kwa kila mjumbe
 

Attachments

  • oCwNUnR3k3e9RT8T.mp4
    4.1 MB
Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?????

ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. IPIGIE KURA YA NDIO NCHI YAKO ISHINDE. PLEASE PLEASE PLEASE.

Tanzania has been nominated for the 27th World Travel Awards 2020. To WIN in the nominated categories your SUPPORT and VOTE is much NEEDED. The voting ends on 22 August 2020.

To vote use the following link Vote Vote – World Travel Awards then log in or register for new account.

Vote for Tanzania to win the categories of:

(1) Africa's leading airport

(2) Africa's leading tourist attraction

(3) Africa's leading beach destination

(4) Africa's leading destination

(5) Africa's leading national park

(6) Africa's leading tourist board

YOUR VOTE COUNTS!
 
Wananchi wakijitambua vilivyo na wakachukua hatua.
Zamani waovu: waliimbwa, wakazomewa na wengine walitengwa...
TANZANIA BILA RUSHWA INAWEZEKANA.
 
Back
Top Bottom