Hii picha ya Bill Gates na familia nchi zinazoendelea imenitafakarisha sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1596274136500.png

Niliwahi kuona nyumba ya Bill Gate kwenye TV documentary, milango inafunguliwa kwa remote control na moja ya sebule Ina aquarium.

Leo anakuja kukaa na famila hii, nyumba za nyuma ya picha ni dhahiri ndiyo uhalisia wa makazi ya familia hii.

Nyuma ya hii picha kuna uoto mzuri wa kijani. Ni dhahiri mvua huwa zinayesha mara kwa mara. Utajiri wa ardhi ulioko nyuma ya picha hii ungeweza kuwakomboa watu wa eneo hili kutoka maisha wanayoishi sasa.
 
Jicho la tatu;
Anaenda kuonesha mabwanyenye wenzie vile anajali black matter lives

Amechukua vipimo namna ya kuvuna maliasili kwenye huo mlima ili aongeze utajiri wake huku akileta misaada ya chandarua

Wale maintelejinsia waje waendeleze kuhusu zile 7 families zinazoendesha dunia.

It’s more than posing with low life people....(3rd eye)

Mume wa huyo dada yuko wapi? Au ni singo mama? She’s natural cute.

Tanga moja, Lushoto moja.
 
Jicho la tatu;
Anaenda kuonesha mabwanyenye wenzie vile anajali black matter lives

Amechukua vipimo namna ya kuvuna maliasili kwenye huo mlima ili aongeze utajiri wake huku akileta misaada ya chandarua

Wale maintelejinsia waje waendeleze kuhusu zile 7 families zinazoendesha dunia.

It’s more than posing with low life people....(3rd eye)
Upande wa pili wametuletea ugonjwa....
ie corona
kisha wanaleta na misaada.
hakuna watu wanafiki kama wazungu
 
Hadi wakupe visa ya kuingia nchini mwao watahakikisha hata ukibeua huleti vinasaba vya dengue.

Mwizi hakibaligi kuibiwa.
Kama suala ni visa tuwanyime visa wasije huku pia.Vinginevyo tuache lawama.Tunalaumu halafu tunawaomba waje kutalii ,tena tunasema hatutawaweka quarantine kina Kigwangala wanasema hawawezi kuwazuia maana nchi inategemea utalii.
 
Ubavu huo wa kuwazuia hatuna.

Wao wanakuja wanapotaka sie hatuendi hadi watake.
 
Back
Top Bottom