Picha hii inaonesha CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watu ilhali CCM wapo migongoni

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,370
2,000
Acheni kumdhalilisha wazee, huyo mzee lait akijua mwenyekiti wa chadema ni mlevi ataichana chana hiyo gauni.
 

Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
5,616
2,000
ULIPO TUPO, Mfuko wa Shati mahali ulipo panahusika, Ulipo mfuko ni moyoni kwake na ndio ameiweka CCM, VIDOLE (CHADEMA) Vinaelekea mfukoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom