Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,425
222,609
KAMATI KUU YA CHAMA INAENDELEA MUDA HUU ( 360 X 640 ).jpg
- NiYeye2020 ( 422 X 640 ).jpg
- NiYeye2020 ( 352 X 640 ).jpg
- NiYeye2020 ( 480 X 640 ).jpg
- NiYeye2020 ( 425 X 640 ).jpg

Siongezi neno
 
Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana

Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana

Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua

Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji

Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya

Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu

Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote

Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende

Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba

Magufuli Baba

Kwa hekima zako

Na busara zako Baba maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba

Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
 
Wewe mleta uzi huoni Flyover,Stiglers gorge,Lami kila kona mpaka huko lupaso na nanjilinji

Kwa mara ya kwanza uchaguzi mkuu haufanyiki Jumapili
 
Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu ,Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba

Magufuli Baba

Kwa hekima zako

Na busara zako Baba maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi,kanyaga Baba

Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Magufuli hajaongeza mshahara wa watumishi , amepunguza kiwango cha kodi tena baada ya Maji kumfika shingoni mwaka huu mwezi wa Saba. Unafikiri watumishi ni wajinga kulaghaiwa sasaivi wakati miaka 4 amewatelekeza.

Sikiliza nikwambie ndugu. Mjerumani alijenga miundombinu, mwingereza alijenga, Mkapa na Kimwete walijenga so kwa hivyo tena vidogo sana vya magufuli haviwambumbazi watanzania.

Hakuna mtu atakayeenda enda kumpa miaka mingine mitano mtu aliyeharibu uchumi wa nchi vibaya kama Magufuli, Watu hawana ajira maelfu mitaani kwa kuharibu kwake sekta binafsi. Biashara kubwa zimekufa sasa anataka kuifanya nchi nzima ya wachuuzi.

Ameharibu biashara ya mazao kama mahindi, korosho na mbaazi kwa kukurupuka kwake.

Bei ya Sukari imepanda toka 1800 hadi 2500 kwa kauli zake tu za kukurupuka alafu apewe tena miaka 5 ??? Hapana!!!

Kajipangeni upya na propaganda zenu uchwara hizo!
 
Hii dunia ina vituko na vichekesho sana sana

Kwa mtu smart kichwani huwezi poteza muda wako kwenda kupiga kura wakati mshindi anajulikana

Mlishaambiwa itatumika kitu inaitwa "SHIKWAMBI" yaani Shinda kwa mbinu iwe mvua au jua

Wewe mleta uzi huoni Flyover, Stiglers gorge, Lami kila kona mpaka huko Lupaso na Nanjilinji

Ulishaambiwa Mzee Mwinyi anashangaa leo hii kila mtu ana vaa viatu mambo ya uchumi wa kati haya

Mwezi huu wa saba wafanyakazi wote wa serikali na private mmeongezewa elfu hamsini kwenye mishahara yenu

Rais Magufuli ameongeza mishahara sekta zote

Magufuli Baba kwa busara zako na hekima kanyaga twende

Leo hii Tanzania watu mnavaa viatu, Unajua kabla ya Rais Mwinyi kulikuwa hakuna mitumba

Magufuli Baba

Kwa hekima zako

Na busara zako Baba maendeleo tunayaona

Kanyaga twende Baba hakuna breki hapa tupo tambarare mambo yamenyooka na safi, kanyaga Baba

Mshindi anajulikana watu mnapoteza pesa Mlimani city hivi hamkusoma mambo ya Forecast au probability au hata kuona hamuoni
Hamna Pimbi kama wewe duniani,
 
Kwa mara ya kwanza uchaguzi mkuu haufanyiki Jumapili
Kiongozi lazima mkubaliane na uhalisia hakuna kiongozi mzuri asilimia mia 100

Kuna mambo Magufuli ameyafanya vizuri sana sana zaidi ya asilimia mia moja mfano

Watu kuwa na nidhamu maofisini

Watu kuheshimu Raia wa kawaida hasa kwenye huduma za jamii mfano mahospitali na kwenye ofisi za serikali

Watu kumuona kila mtu ni nyoka ofisini na mtu hatari pale anapokuletea dili la kupiga pesa,Leo hii kila mtu anaogopa madeal hujui nyoka ni nani

Tabia za uvivu na uzembe kwisha habari yake

Ulishaambia na kikwete,Mlitaka mabadiliko dawa ni kuleta mtu mkali na anatema cheche

Mapungufu ya Magufuli ni madogo sana

Moja ,Hataki kelele za watu kumsema na kumjadili jadili hovyo

Pili,Akiamua kufanya kitu anasimamia anachokiamini kiwe kitaharibu au hapana ,Yeye hapendi ushauri tofauti

Yote,Magufuli busara zake na hekima tunaziona leo maendeleo yanaonekana

Kanyaga twende Magufuli
 
Back
Top Bottom