picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia jinsi daladala wanavyojiongeza na level seats

    Katika harakati hizi za kukabiliana na gonjwa la Corona tulionywa na mamlaka ya nchi juu ya kujilinda ikiwa ni pamoja na kukaa mbali kati ya mtu na mtu (social distance). Pia mamlaka kama SUMATRA walitoa angalizo Kwenye vyombo vyote vya usafiri abiria wote wakae Kwenye viti na asiwepo mtu wa...
  2. Latrice

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha zilizopigwa na simu za XIAOMI

  3. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

    Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo? Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu. Je,ni hivi hivi tu? Upendo huu umeanza lini? Hii hawezi kuwa ni damage control?
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wanawake/Mabinti mnaotafuta wenza wekeni picha zenu

    Kuna ongezeko kubwa hasa wadada wakitafuta wenza wa kiume hapa JF! Sasa nawapa ushauri! Mara nyingi wababa tunavutiwa na vitu viwili mara ya kwanza ukimuona mdada: ni sura na umbo kama vile chura, rangi, na miguu! Haya mambo ya tabia ni baadaye saana! Sasa unakutana na maelezo ya mdada...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

    Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!! Time will tell
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hizi habari za connection zinatujenga watz kuwa watumwa wa picha chafu hata kwa wasafi

    Hizi habari za kila siku kusikia connection, connection ya kupata picha chafu hasa za watanzania na watu maarufu zinatujenga kidogo kidogo kuwa watumwa wa hizi mambo. Sote tunajua watanzania sio wacheza picha chafu na hiyo tabia haikuwepo, Ila Sasa hata wale ambao walikuwa hawana utamaduni wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kinachofuata ni Mbowe kupewa mwaliko wa kwenda Magogoni ili picha zake na Bwana mkubwa zitumike katika kufanikisha damage control

    Leo hii baada ya habari ya Msigwa kulipiwa na Magu kutoka,watu watakuwa wameshangaa ila mimi binafsi sijashangaa kwani nilijua kitafanyika kitu kama hiki na hakika kimetimia ndani ya masaa 24. Wakati ACT-Wazalendo wakichangia shilingi milioni mbili,sitashangaa chama cha kijani nacho kikachangia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa Magufuli bado hajapita kiasi katika kutaka atukuzwe na anaowateua angalia picha hii

    Waziri mmoja wa Zambia akiongea na rais wake Lungu huko Zambia kipindi fulani hapo nyuma. Magufuli wetu hajafikia huku, swali ni kama siku moja atakuja kufikia huku!
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbowe alipokuwa anaingia viwanja vya Bomang'ombe - Ardhi yatikisika, Umati ni mkubwa kuliko maelezo!

    Wakuu wakati mwingine tunaandika humu JF hadi tunashindwa kueleza , Kiukweli haya mambo sometimes hayaelezeki . Tunaomba radhi sana kwa tunaowakwaza kwa habari zetu hizi motomoro za Mbowe na Chadema , hatuwezi kuficha , maana kuna msemo wa kiswahili unasena hivi , Kizuri kula na nduguyo
  10. Gwangzu

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: tupia picha | tuone hali ilivyo huko china

    Tushare kwa picture hali ilivyo huko china; *soon nawaletea pictures*
  11. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbowe Katika picha ya Pamoja na kachero mbobezi

    Wadau.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  14. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka

    Salute kwako Mama wa Kenya. Huu ndiyo upendo.
  15. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Picha zikionesha stesheni za reli ya kisasa - SGR zikiwa mbioni kukamilika

    Picha hizi zinaonesha Maendeleo ya Ujenzi wa Stesheni za Dar es Salaam, Pugu na Soga. Katika kipande cha kwanza cha Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR ambao utakuwa na jumla ya Stesheni Sita ikiwemo Stesheni kuu mbili ambazo ni Dar es Salaam na Morogoro huku Stesheni ndogo (za kati) zikiwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

    Kwa kweli kama Watanzania hatutasimama pamoja na wazalendo wakubwa nchii hii yaani RC Gambo pamoja na RPC shana basi historia itatuhukumu sana Jana nimeweka picha ya jaji namba 62 alivyopost picha ya kuidhalilisha nchi na kuhujumu uchumi leo tena tunaona Dr Bashiru kafanya the same, tunaomba...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha za shule ya msingi Chato; hakika maendeleo hayana chama

    SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha. Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je, wewe unapenda kupiga picha? Je, waweza piga picha hili eneo? Shuhudia ujasiri wa huyu!

  20. Son of Gamba

    JamiiForums Tanzania Wavaa nywele bandia wakiona picha hizi wanaumia sana

    Binafsi nakerwa sana na Wanawake wenye tabia ya kuvaa wigs kichwani au kushonea nywele za bandia. Hii ni tabia ambayo kwakweli mimi huwa siipendi kabisa na huwa namwona Mwanamke wa namna hiyo kuwa ni mchafu na limbukeni. Kwanini Wanawake msiridhike na kile mlichonacho? Kama nywele zako ni...
Back
Top Bottom