Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.
Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28.
Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
Pongezi JF
Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote.
Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa...
MPARD ( Mombasa Port Area Road Development) Project
This comprises of;
1.Mombasa to Mariakani highway.( Lot 1 - Mombasa kwa Jomvu. Lot 2 - Kwa Jomvu to Mariakani
2.Mombasa Southern Bypass.
3.Mombasa Northern bypass
4.Mombasa airport access road.
Mombasa kwa Jomvu highway- a six lanes...
Ninalenga kuonyesha kuwa kutoka ghorofa moja mpaka jingine kunakuwa na kakibaraza karefu kidogo ili MTU anapoanguka asiende chini moja kwa moja aweze kukwama japo naweza kuwa nimevichora virefu sana.
Mfano maghorofa huwa na vibaraza sasa kibaraza cha ghorofa inayofuata chini kiwe kirefu kuliko...
Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya.
Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
Habari wakuu
Me naamni ya kwamba Moja kati ya mahitaji muhimu sana ya binadamu katika maisha yake ya kila siku ni amani.katika kitabu cha George Kaithori cha Make Peace Your Target ,amani ya kwanza kabisa anayoihitaji mtu siyo ile inayotokana na kutokuwepo kwa vita.Amani ni ile hali ya utulivu...
Muda wowote kutokea sasa Membe atatangaza kujiunga na ACT Wazalendo.
Huu utakuwa ni ushindi kwa Zitto Kabwe maana amekuwa akimuomba sana Membe kujiunga ACT.
Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10!
Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui...
Halafu omba omba wale wa kutoka kwa nchi jirani hivi wamepelekwa wapi maana sidhani kwa hali kama hii watapata nafasi.
As the Nairobi Metropolitan Services (NMS) under Director-General Mohamed Badi embarked to rehabilitate Nairobi streets, certain improvements are visible in the Central...
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.
Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama...
Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo.
Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum...
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu hizo picha iwapo ni kweli picha hizo za Lissu zipo sokoni Kariakoo kama zinavyoonekana mitandaoni.
Ni hivi:kampeni za uraisi zina muda wake na kuanza kampeni kabla ya wakati bila shaka ni kosa(kwa ufahamu wangu), hivyo, kwa kuweka picha hizo za Lissu zikimnadi...
UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA
Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta
Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question.
Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi.
Watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.