picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Pete za ndoa ziwe na kauwazi kama picha chini zinavyoonekana, maana zinabana tukinenepa hazivuliki

    Nimegundua pete za ndoa lazima ziwe na uwazi kiusalama maana tukinenepa watu huzivua kwa sabuni zinagoma, muundo huo ni ubunifu wangu haki miliki ninayo.
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa uzembe kabisa Serikali isivyojali mitambo yake!

    Huu mtambo upo Bunju kando kando ya barabara ya Bagamoyo. Umeharibika na umekuwa hapo karibu mwezi mmoja sasa. Kabla ya hapo ulikuwa pale Mbezi Goig na pale vile vile ulikaa barabarani mwezi mmoja.. Huu ndo umakini wa idara za serikali-naamini huu ni mtambo wa Halmashauri fulani hapa Dar es...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

    Hayo kayasema asubuhi hii Tabora
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

    Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Machifu na Edward Twinning. Nani mwenye picha inayoonekana vizuri zaidi?

    Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini nimfanyie scanning na kuikuza. Humu inawezekana kuna mdau anayopicha yenye yenye mwonekano mzuri...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maadili ya Uchaguzi: Ni marufuku kubandika picha ya mgombea juu ya picha ya mgombea mwingine

    Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inaeleza matukio ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi kuwa pamoja na kutoa Lugha ya matusi na kashfa pia kutoa kauli zisizoweza kuthibitika. Pia ni kosa kimaadili kubandika picha ya mgombea juu ya picha ya mgombea mwingine, vurugu dhidi ya wagombea, wafuasi wa...
  9. SumadaVinci

    JamiiForums Tanzania Kadri utakavyoangalia picha hii ndivyo utakavyogundua matukio zaidi

    vipi wewe umegundua tukio gani???
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama pinzani badilikeni, uchaguzi ni matangazo wekeni picha za Wagombea wenu mitaani

    Hili suala si la kulifumbia macho ama kulidharau, ukipita kwenye kona mbali mbali za jiji la Dar utakuta ni picha tu za wagombea wa CCM ndio zimetawala mji mzima lakini Vyama Pinzani hakuna kabisa mabango yao ya kampeni mitaani. Hali hii inawafanya wananchi wengi kuona kama vile vyama pinzani...
  11. 911sep11

    JamiiForums Tanzania Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  12. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya mtandao wa Twitter ya Balozi wa China nchini Uingereza imeonesha kupenda “like” picha yenye maudhui ya ngono

    Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo. Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni...
  14. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

    Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM...
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Propaganda za vijana wa CCM za picha za idadi ya watu kwenye mikutano ya Lissu

    Inafahamika kuwa Viajana wa CCM ndio vijana wenye upeo mdogo Sana wa kufikiri katika mambo muhimu yanayohusu nchi na Dunia. Vijana Hawa Ni tofauti na vijana wa nchi nyingine Hapa Afrika na Duniani. Wakati vijana wa vyama vya Upinzani na wa nchi nyingine huwa wanauchungu wa kweli wa nchi zao...
  16. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya matumizi ya picha na icon fonts wakati kusanidi project zetu

    Kwa wale mnaoendelea kutumia picha kuwa kama icons inatosha sasa, kwa wale wanaotumia icon fonts mjitahidi kufanya ntakayoeleza!. Hakika inasumbumbua na italeta shida kwenye project yako, endapo utaendelea kutumia picha halisi kuwa kama icons, wengi hutumia picha kwa kuwa walikosa icons kadhaa...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hapa ndio unagundua wanasiasa wanatuona sisi ni Wehu sana hasa kipindi hiki cha wao kutaka "Kula"

    Salma Kikwete akiwa katika harakati za kuigiza ili apewe "Kula" ni kwa nini wanasiasa wa Africa au Tanzania wanatuona sisi ni mafala sana? Wehu? Ni mambo haya kweli yanayotufanya tuwachague hawa wawe viongozi wetu?
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ummy aahidi kumuonesha Mwana FA vichochoro vya Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ambaye pia ni mgombea pekee wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini, Leo Septemba 2 ameshirikiana na mgombea wa Ubunge Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma au Mwana F.A katika kampeni mkoani Tanga Katika kampeni hiyo, Ummy ameahidi kushirikiana na Mwana FA kumuonesha kote kwa...
  19. Ubuntuwize

    JamiiForums Tanzania Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
Back
Top Bottom