pesa

  1. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

    ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku. utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba hela ni ishara kuwa hakupendi?

    Salaam ndugu zangu kaka na akina dada, naomba kuuliza; hivi ni kweli mwanamke anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kukuomba hela? Akina dada hivi unaweza kumuomba pesa mpenzi wako unayempenda kutoka moyoni?
  3. JamiiForums Tanzania Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa. Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo. Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo. Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo. Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
  4. JamiiForums Tanzania Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amewataka Wananchi waliopo kwenye Vikundi kuandaa miradi mikubwa itakayowawezesha kukopa kiwango kikubwa cha fedha za Serikali isiyokuwa na riba. Akizungumza Februari 21, 2024 katika hafla fupi ya kuvunja...
  5. JamiiForums Tanzania Kama haumiliki gari mjini wanawake watakuona jau, labda uwe na pesa za mupemupe baongezee, botebote

    Habari nyote (Waguma), Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini. Hio ndiyo kanuni hirizi ya mjapani hainaga punch ikienda imeenda. Tuendelee kuliombea taifa. Natamatika Wadiz
  6. G

    JamiiForums Tanzania Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  7. JamiiForums Tanzania Pesa iko overrated

    kila kitu kina thamani kama hauna. Kipindi nipo mdogo nilikua na imagine the way ntavokua naspend nikipata hela kama kujenga jumba la kifahari, kudrive ndinga kali, kubadili wanawake na safari nyingi za nje ya nchi zisizoisha but guess what? things turned out to be against my imagination. Hizi...
  8. JamiiForums Tanzania Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake? Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Salaam, Shalom!! Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida. Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  11. JamiiForums Tanzania Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa. Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi. Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo. Jamaa kapita karibu na dubwi akapata...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  16. JamiiForums Tanzania Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli. Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile. Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela). Si...
  17. JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence ni ulaghai

    Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
  18. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
  20. JamiiForums Tanzania Hakika pesa na matatizo ni watoto mapacha wanaofanana

    Kamuanzishia biashara ya M-Pesa mke wake hapo kijiweni, baada ya kuona inalipa akaenda kukopa million 2.5 kuongezea mtaji. Picha linaanza mara baada ya kukopa tu, siku ya kwanza kaenda kutoa 100k ili aandae mazingira, arudi nyumbani anapatwa na dalili za malaria. Akaenda kununua paracetamol...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…