Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,674
Reaction score
14,097
Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake?

Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?

20240219_093705.jpg
 
subiri omba omba waje

 
subiri omba omba waje

Kazi ipo. Ombaomba wa kizazi kipya
 
Hamna kiumbe mbinafsi kama mwanamke na ndio maana kuna baadhi ya watu wanapenda kuoa wamama wa nyumbani. Hapo utakuta ana kazi kurudi saa mbili usiku kutoka saa kumi na mbili asubuhi, akiguswa usiku anasema amechoka, hela yake haionekani.
 
hali ni tete
bibie hapo anaona analiwa uchi bure bure bila kupewa pesa ya uchakavu (kuhudumiwa)
hali hiyo inamuuma sana

mapenzi kwa ujumla ni umalaya uliorasimishwa, toa pesa ya uchakavu upate penzi
Kuna tatizo kubwa kwenye jamii kuhusu malezi ya hawa mabinti unafikiri mwanamke wa namna hii akiolewa siku mumewe akakosa kazi ataweza kweli kutoa pesa yake
 
Kuna tatizo kubwa kwenye jamii kuhusu malezi ya hawa mabinti unafikiri mwanamke wa namna hii akiolewa siku mumewe akakosa kazi ataweza kweli kutoa pesa yake
huweziona hela ya KE hata siku moja, anaamini yeye anakupa wewe penzi
wewe lazima umpe yeye pesa, yeye akitoa pesa(na penzi), wewe unakuwa unafaidi penzi la bure huku yeye akichakaa
 
Back
Top Bottom