Hakika pesa na matatizo ni watoto mapacha wanaofanana

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,560
8,638
Kamuanzishia biashara ya M-Pesa mke wake hapo kijiweni, baada ya kuona inalipa akaenda kukopa million 2.5 kuongezea mtaji.

Picha linaanza mara baada ya kukopa tu, siku ya kwanza kaenda kutoa 100k ili aandae mazingira, arudi nyumbani anapatwa na dalili za malaria.

Akaenda kununua paracetamol kupunguza homa mara mafua na nguvu kukosa nguvu.

Kaenda kupima U.T.I, Malaria hakuna kitu basi daktari kamshauli kununua dawa za vidonda vya tumbo (PPI).

Kurudi nyumbani siku ya pili mke akafuata dalili ni zile zile homa, joto kali na mafua kupima hakuna ugonjwa, kachukua dawa za kutuliza homa na mafua pia alikuwa anatapika.

Siku ya tatu mtoto wa miaka mitatu naye homa na mafua hakuna ugonjwa sasa jamaa kachoka millioni 2.5 imebakia laki nane.

Kachoka amekuja kuomba ushauri nimemjibu kama nilivyoandika title kashindwa kuongeza mtaji maana bado wanaumwa wote watatu.

Tumshauri biashara ya kurejesha deni licha ya kuwa ni mgonjwa mwanaume kujikaza, muda unasonga eti, daaaaah!
 
Mshauri aende hospital kwa uangalizi zaidi. Kama wana dalili za kufanana basi ni ugonjwa wa kuambukiza.

Kuhusu mkopo, wala asijali. Mkopo atalipa tu, anaweza kuomba kusogezwa kwa muda wa kuanza kulipa. Ikishindikana, achukulie kama kapata hasara..

Zaidi, amuombe Mungu aiponye familia. Afya ni mtaji mkubwa zaidi kuliko 2m.
 
Mwanzo alienda zahanati za serikali hakuna ugonjwa ndipo akaenda za private napo hakuna.
 
Mitaa ya wapi hiyo Mkuu? Waziri Ummy si alisema hii ni uzushi hospitali binafsi zinapokea bima?
yte tu kaka mie mama angu alijikat na wembe jerah la kushona ad aghakhAn wamektaaa wansem lbda kwa cash kwenda k2o kngine cha bnafs ivo ivo ikabd twend hosptl ya serkal ndio akashonwa ikbd tumuulz kaka et ye dr anafny hosptal ya govt akasema ndio bima utapew tu hudum ambaz mweny hosptl azmuumz sn ila za gharm mfan majerah inabd ulip manake wana miez inaend 6 awajalipw hela za bima toka serkalin wanapgaj kaz kwny mazngr govt aiingz pesa kwa wkat?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Duuh, mbaya sana hii, unaweza kumpoteza mgonjwa wako hivi hivi
 
Back
Top Bottom