Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,542
Salaam, Shalom!!

Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida.

Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa Mimi, kukikalia KITI hicho ni kuongoza watu wa Mungu Kwa niaba ya Mungu mwenyewe.

Ndio maana Mwalimu Nyerere alipaita IKULU ni Mahali Patakatifu, Si pango la WANYANG'ANYI.

Na kitu wengi wasichokifahamu, Tanzania ndio Nchi ya AGANO, Israel ya Rohoni,Inaitwa Nyikani/ Taifa teule, kimbilio la WATAKATIFU siku za mwisho.

Tanzania yetu tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.

1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.

2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.

3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.

4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.

Wasaka Urais Kwa pesa, endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata!!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Amen
 
Salaam, Shalom!!

Tangu uhuru, wote walioutamani Urais, Urais uliwakimbia. Kwa kadri unavyozidi kuutamani Urais wa Nchi hii ambayo Nyerere alikuwa mwasisi wa mifumo ya uongozi na utawala, Kwa spidi hiyo hiyo ya kuutafuta, utateleza mikononi mwako usiamini kilichotokea.

1. Rais Mwinyi, hakuwahi kuutafuta Urais, Urais ulimtafuta.

2. Rais Mkapa hakujulikana, Wala hakuwahi kuutafuta Urais, Urais Ulimtafuta.

3. Rais KIKWETE hakutumia pesa kuusaka Urais, Urais ulimtafuta.

4. Kadhalika, Rais Magufuli pia hakuwahi kuota ndoto za Urais na kuzianika hadharani, Urais ulimtafuta Hadi Chato.

Hizi kelele za kuwa Marehemu Lowassa alisalitiwa na Rais KIKWETE ni unafiki tu, Urais hautafutwi Kwa pesa, na Urais haugaiwi kiurafiki Wala kindugu kwamba ukimaliza kula niachie nami zamu yangu!!

Nguvu ya dola ndiyo inamua.
 
Kwa upumbavu huu wa middle class wa kitanzania, ndio maana nchi bado sana,eti Urais umewafuata hao uliowataja wakati ukweli yaani naked truth,mtu mmoja alikua na uwezo wa kutafuta Rais wa nchi, soma hii eti Mauritius ndio nchi inayowekeza kwa wingi hapa nchini, nini kilimfanya Nyerere ambaye Alisha ng'atuka kwenye siasa kurudi na kutuletea rais aliyejiita ni Mr.clean wakati ni mmoja wa mafisadi wakubwa?
 
Rais Mkapa ndiye aliyelipa madeni yote ya mikopo ya watangulizi na hakukopa hata mia.

Na alikabidhi hazina ikiwa na Mzigo wa kutosha.

Endeleeni kuutafuta Urais kama mtaupata😀😀
 
Umenikumbisha maneno ya Dr. Salmin Amour Juma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mstaafu, wakati akizungumzia Urais wa Zanzibar, alisema Urais si Halua kwamba kila mtu alambe.
Wanasiasa wangelijua hili,

Wasingehangaika kuifisadi Nchi Ili kuutafuta Urais!!!
 
Usimsemee M/Mungu, M/Mungu amepanga Dr. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mpaka lini? Mimi nawewe hatujui.🙏
Lucas ameshamjua Hadi atakayefuata baada ya huyu.

Mambo mengine ni muhimu tukawa na breki.
 
Back
Top Bottom