Kama haumiliki gari mjini wanawake watakuona jau, labda uwe na pesa za mupemupe baongezee, botebote

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Habari nyote (Waguma),

Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini.

Hio ndiyo kanuni hirizi ya mjapani hainaga punch ikienda imeenda.

Tuendelee kuliombea taifa.

Natamatika

Wadiz
 
Mbona wengne hatuna magari na tunachakata mbususu kama kawaida yaan mpaka tunakinai,,tatizo sio gari mkuu...wao sasa hivi wanataka pesa!...pesa mbele kama tai..na hata hyo pesa kuna baadhi ya wanawake hata uwe nayo huwapati...mapenzi hayana formula
 
Kumiliki gari ili upate papuchi ni kua insecure. Insecurity haujitibu kwa kupata vitu sababu utapata IST then utajiona boya na kuanza kuona papuchi ulizozikosa umewakosa sababu una IST then utaanza kuwaza nikiwa na subaru ntawapata zaidi hahaha inakua endless circle of insecurity manifesting in progressive form.
 
Mie sina gari na sina pesa ila nawatusua kinyama tena wale wa viwango.

Mjini mipango sheikh, si kila kitu pesa.

Njoo PM tukupe madarasa!!
 
Mtakoma Nyie mnaotaka pisi Kali,Sisi wa mishangazi na mimama Yan huumizi kichwa...

Hela wastani Tu,Kula pamba vizuri,nukia vizuri na uhakikishe unajipenda wewe kwanza,Yan jipende wewe,narudia tena jipende wewe....
 
Mie sina gari na sina pesa ila nawatusua kinyama tena wale wa viwango.

Mjini mipango sheikh, si kila kitu pesa.

Njoo PM tukupe madarasa!!
Acha Kiki mkuu sema unamtusua mmoja Yan uwatusue halafu huna hela,huna gari,huna popularity 😳
Unaua vibe mzee
 
Back
Top Bottom