Mwanamke kuomba hela ni ishara kuwa hakupendi?

Na wewe mwanaume mzima unajielewa unakaa kutafuta nani anakupenda na nani hakupendi? KWELI? KWELI? Katika huu ulimwengu wa kibepari na kinafiki!!
Sasa bila kujua hivi vitu ndio yanatokea yale ya Saidi na mkewe kule Mwanza, pesa anayo ila demu anaongea nje mwisho ndio vile mnauana
 
Salaam ndugu zangu kaka na akina dada mtoe ushuhuda naomba kuuliza hivi ni kweli demu anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kukuomba hela?
Akina dada hivi unaweza kumuomba pesa mpenz wako unayempenda kutoka moyoni ?
Wanaume tumeumbwa kusuport!

Lakini katika kuombwa'ela kuna mambo mengi yamejificha katika hiyo password, kuna code zimejifichwa humo.

Kuna kuombwa hela kwa ajili ya 'shida halisi', lakini kuna kuombwa ili 'kulipia' mwanaume ulichopewa.

Kuna kuombwa ili kukukomoa ujikatae, kwa sababu unalazimisha mahusiano hayo, ukitoa hiki unadaiwa tena ili ushindwe muishane.

Na kuna kuombwa kiomba omba, kwa kukuona wewe una pesa nyingi usizokuwa na kazi nazo, yaani ni tabia ya mwanamke kutoridhika na anachopewa na kumuona mpenzi wake ni bwege!

Kama mwanamke wee niombe tyuu, lakini omba yako hiyo ndiyo itanipa fursa ya kukutafakari kwa kina na fungu la kukuweka ndipo nitakapokuchagulia.

Siyo unaponiomba nitatoa kihayawani hapana, nitatoa huku ninakujaji hiyo 'kaombee' yako.

Lakini pia ukumbuke suala la kuombwa pesa na mpenzi, saazingine limekaa kisaikolojia zaidi.

Mtu mwingine akishinikizwa kutoa hela kwa ajili ya mapenzi hufurahi na kujiona tayari ana haki miliki ya kile anachokilipia, hujiamini balaa na hukakamaza sana misuli wakati wa tendo ili anachokifanya akithamanishe na hela yake, kwahiyo njia hiyo inatumika kama dawa ya nguvu za kiume.

Maana asipoperform vizuri kukidhi haja vilivyo, hela yake itakuwa imeenda kipumbaf kazi ni kwake.

Hizi ni dondoo tu ambazo zipo sana kwenye 'tasnia' lakini tukija kwenye mada yenyewe sasa, mwanaumwe kuombwa hela na mpenzi wake hakuna ubaya wowote ilimradi uombwaji huo usiwe na hila iliyojificha nyuma ya pazia.
 
Ahsante sana kaka kwa ufafanuzi mzuri natamani hata ungeendelea zaidi jinsi nitavotambua kama hapa nachunwa tu au napendwa kweli
 
Back
Top Bottom